@mr_mooh_marketing: Wakulya challange.. @Rozy_de_amour #fypシ #foryou #foryoupage #fyp

mr_mooh_marketing
mr_mooh_marketing
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 27 November 2024 13:10:29 GMT
110116
4401
592
199

Music

Download

Comments

cutewithbrain0
momo 😍 cute :
weka like apa kama unajijua ww ni mkurya mzuri mvumolivu upend zarau na umenyooka💜
2024-11-28 08:07:54
255
physical.training4
physical Training 💪🏀💪 :
Apo kwenye Uzuri umetupgaaaa😏
2024-11-27 18:46:50
27
esterjoseph9524gmail.com
este Joseph :
litatokea li nyankundo libishe eti niungo😂😂
2024-11-28 05:02:53
39
user825862468124
Salome elias :
sio uongo sie wazur tunavumilia ila hatupendi dharau.
2024-11-28 05:01:56
60
agnesslema
cocompambanaji :
wajuaji,manafki,wanamisimamo,wanamajigambo,wakisoma shida
2024-11-27 17:16:16
12
surveyor_obare
Surveyor Obare :
Mim ndo nimeambiw nisioe Mwanamke zaidi ya mkurya mwenzangu,ila ndo sijawai kupata wallah 😔😔😔Nakaribia kutafutiwa dooh 😎😎
2024-11-28 07:36:10
6
ndaje28
MUNGU PAMOJA NASI💪🏾💪🏾💪🏾 :
Kwenye uzur sasa 😂😂😂
2024-11-28 06:01:43
1
calvin__031
calvin__031 :
wakurya tumenyooka sana
2024-11-28 07:14:08
15
fety0025
fetyochu02 :
Wasukuma, warangi, wanyaturu, wanyiramba,wairaq,wabondei & wachaga ndo wazuri Tz sisi wengine ni 40% tuongee kweli
2024-11-28 06:36:31
8
mwiti9
💜💜Christine🦋💜💜 :
kurians babies hi 👋👋
2024-11-28 13:09:00
39
vaileth197
user5151585311554 :
uzuri nini mbona dada kaongea vizuri kinachowauma nn mimi siyo mkurya ila ni wazur sana tena san tz wanazani uzuri ni weup
2024-11-28 17:57:19
5
user9781417619002
Naah✨ :
wakurya gonga like hapa 🥰
2024-11-28 15:43:03
23
cintha325
cintha🌸 :
mabondia wanaweza piga hata wame zao😂
2024-11-29 12:22:40
3
jayco_magaiwa
Jayco :
Sifa zingine hizi hapa ni wachapakazi wanaupendo wa dhati ni wapishi wazuri ni watamu na warembo
2024-11-30 13:01:19
12
happinesmwita421
HAPPINES MWITA :
wakurya tuendeleeni kua na msimamo wetu maana hii Dunia watu wamejaa dharau sana
2025-02-20 19:07:45
3
tunuqueen2
queentunu mabochi :
wakurya njoon huku! wakurya tumenyooka ila jichanganye ujae kwenye mfumo😅😅
2024-11-27 21:39:18
20
user5581325754768
ney jr. :
ni kweri wadada wa kikurya hatupendi dharau ubaya ubwela
2024-11-28 17:57:32
6
user66920113590414
zawad jonass♥️♥️ :
wakulyaa oyeeee nimependa sana dada
2024-11-28 17:56:39
4
benahomestoredodoma
Bena home store dodoma :
Tuna hasira za dakika moja hatupendi ujinga kabisa hapo kwenye dharau hatutaki kabisa
2024-11-28 11:37:26
2
lyndermatiko3
Rhumba Queen 👑(RQ)🇰🇪🇨🇩 :
wakuria pangeni line apa👌👌😂..sisi ni wazuri
2024-11-30 22:58:18
4
mayah_collectionstz
Mayah_Collectiontz :
Kwenye uzur hapo hapana😂
2024-11-28 13:07:54
2
cecydaclever
cecy :
umesahau atupendagi ujinga na atuna muda wakubembeleza mtu
2024-11-28 09:05:21
2
displaygasper
Display Gasper :
mkurya gan mzuri Ivo
2025-06-09 10:06:53
1
user39078131469587
sir meja :
kasahau ukiolewahuludi
2024-11-28 11:11:54
0
charming.treezy
charming treezy :
jamn wadada wa kikurya ni warembo sana
2025-01-20 16:34:33
2
To see more videos from user @mr_mooh_marketing, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About