@dizastavina1999: Sijui niseme nn ila hili n zaidi ya simanzi kiukwl umejua kuniliza leo 😭😭 sikutarajia utaondoka ghafla kiasi hiki rfk yng. Ulikuwa zaidi ya rafiki tangu mwaka wa kwanza mpaka mwaka wa tatu, umeondoka ghafla sana jmn 😭😭... Wana HR tutakukumbuka daima. Allah akupe hifadhi salama huko uendako kipenzi @Wity🌹 ... Sisi wote ni njia moja na safari yetu n moja ila nataman hata tungesherehekea basi graduation. mipango ilikuwa nyingi ila kumbe Allah alkw nae anapanga yake... Umeniaga kwa tabasamu bashasha na vicheko vingi majuzi tu kumbe ndo kwaheri ya kuonana 😭😭 duh kwaheri witty kwaheri rafiki bora kwaheri kipenzi cha P na mama P.... 💜