@halima__katamu_:

Katamu_officially
Katamu_officially
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 28 November 2024 11:32:35 GMT
881320
42283
1499
1499

Music

Download

Comments

cathelinemmanuel
hamidaaa?? :
watu kama nyie hamnaga maajabu yoyote😄😄😄
2024-11-29 14:10:37
50
shuusule97gmail.com
mrs,suleiman :
Kiuno kigumu kama uchumi wa tz
2024-12-15 14:08:12
54
bernicenineka
chinga amran :
wanawake wenye hofu na mungu nawaombea sana mungu awaepushe na huu upuuzi
2024-11-30 16:27:34
798
user49588603227066
wanu kikamo :
tunaemuopa mungu tuonane
2024-11-30 20:42:59
152
mayra.9326
Mayra 93 :
eeh mungu niepushe na huu ufuska wamitandao yaarabb
2024-12-14 14:45:15
61
agness.leonard
Agness Leonard :
wale wenye viuno vya chumbani tu na sio mtandaon tuonane Kwa like🥰
2024-12-17 07:12:46
69
bomani.shame
Bomani shame :
hamna kitu hapo nifangasi tupuu
2024-12-09 18:54:24
11
officialchimamy03
chimamy👑 :
Kuna siku utajuta na utatamani uludishe muda nyuma ili usawazishe makosa yako
2024-12-15 22:00:59
25
ibrahimabdallah048
Ibrahim Abdallah :
Jaman msijisahau san kuna kufa
2024-12-16 11:21:29
11
rehemamjedwa
Rehema Mjedwa :
innalilah wainnalillah rojoon jamn wanawake wenzetu mntutia aibu san
2024-11-30 17:46:10
27
murongxi1212
Clunny gang :
tulio pata kipaimara tjuane
2024-12-07 20:16:21
5
suleyshlegacy16
Suleysh Legacy :
kama unaamini ukiingiza afanyi ivyo gonga like najua umenielewa
2024-12-15 20:22:03
12
user26555029545706mamy
ALHAMDULILLAH ALA KULI HALI :
mh unajizalilisha tu ovyoooo usituvuwe nguwo waja wenziwo
2024-12-15 20:40:11
5
mashanlla
majungu si mtaji tafuta mtaji :
unajiuza
2024-12-07 15:42:10
5
nassorzaharan99
nassorzaharan99 :
Wanawake wenye hofu na Allah, msitumie smartphone
2024-12-01 06:10:03
87
qurfwabongo
qurf wabongo💞 :
acha ujinga Allah akupe mwisho mwema
2024-12-14 12:34:07
15
khalfansaleh435
Culler ❤️ :
Astaghfirullah Allah akusamehe akuongoze 🥹😢
2024-11-30 08:49:45
81
kapene.jr
kapene jr :
dunia imeisha duuh🥰🥰🥰
2024-12-15 08:27:28
6
nureen9433
nureen :
watu kama nyie kitandan ndo magogo
2024-11-29 12:21:54
35
halimamofat
halima mofat :
unadhalilisha jina letu🥺 hali hiyo kitako km kidafu🥺
2024-12-08 20:36:25
8
itz_nature09
🏝GIRL_BOSS🧸💙 :
mme wangu zima data kwanza njoo tuongee pemben maana haya ni majaribu
2024-12-06 14:43:22
5
user8182534442770
dully :
msiba mkubwa huo Allah akuondole akupe ufahamu kabla huja enda mbele za hk.
2024-12-11 05:11:56
6
shamney.og
Shamney og :
mmh magorofa lazma yaanguke🤣🤣🤣
2024-11-29 16:36:31
6
user3493590134969
user3493590134969 :
kwa mwanaume mwenye hofu ya mungu na anaetembea na roho mtakatifu atakuona kama pepo,ila wanawake tunajirahisi ndio maana kutwa kupigwa matukio
2024-12-15 18:06:17
5
anuariabdul
isher cute :
kama ujui usijilazimishe
2024-11-29 17:01:04
13
To see more videos from user @halima__katamu_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About