Huyu ni mtumushi wa kweli nimesikia hilo toka ndani ya Moyo Wang
2024-11-29 12:05:39
40
salumu luhanja :
hapa WAKRISTO ndo huwa celewag haya maneno ana yatoa agano la kale haraf wakibanwa kweny hoja utasikia Lile ni agano la kale
2024-11-30 03:59:23
1
Ezekiel Mutemi :
how can I connect with this servant....i am a young minister earger to asend this dimensions....
2024-12-01 16:02:59
1
SevenGraphics :
Aliumbwa mtu mume na mtu mke, halafu baadaaye Adamu akalazwa usingizi,akapatika Eva ,hii imeekaje ,ni kama vile kulikuwa na mwanamke mwingine kabla ya Eva,naomba kama Kuna mtu anaweza kufafanua hili
2024-12-11 13:47:13
0
Intellectual :
naomba msaada upo goba sehem gan nielekezen maana namielwa sana huyu pastor goba centre napajua sema kansa silijui
2024-12-08 21:14:16
0
Paul :
Amen mtumishi but aman ispokuwepo kwenye ndoa upendo unapotea
2024-11-29 13:12:40
4
Winfrida Mwasamila :
kanisa lipo wapi hili
2024-12-17 20:23:17
0
user81231008490023 :
amen baba njooo na moshi babaa
2025-05-26 20:06:46
1
country side man :
am here after watching a divorce video of emma amara and joseph...wah this life needs Gods wisdom.
2024-12-22 06:31:46
0
Grace Nuru :
muchungajiukowapi
2025-01-22 00:04:31
0
reyis peter :
Bwana Yesu asifiwee .. naomba msaada wa maombi nipo Arusha
2024-12-11 09:23:59
0
kalumunafaustine :
bi arusi anachati😂😂😂😂inashangaza eti
2024-11-30 01:09:34
0
Obey :
mtumishi wa Mungu anajionesha tu, Najiskiya amani kabisa,
2024-11-29 13:30:10
3
Irene Ezekiel :
ubarikiwe sana mtumishi nimejifunza pakubwa sana 🙏🙏
YESU akutunze mtumishi 🙏
2024-11-29 08:12:54
4
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
I really appreciate you man of God ,may GOD bless you forever
2024-11-29 17:17:58
4
Shadrack🇹🇿 :
Amen
2025-06-21 07:58:15
0
Lucy Tz :
ameen man of God
2024-11-29 11:20:45
3
pettermwamba :
Asante san mtumishi,,,kumbe shahidi pia nnakesi ya kujibu,,sitauchukulia pw wali,wa harus ,wala mzk wa ndoa
2024-11-29 05:51:27
4
Annie :
watu wangekuwa wnaelewa sana mafundisho ya watumishi wa MUNGU,,ndoa zingepona🙏🙏Amina mtumish wa mungu
2024-11-29 05:36:05
7
official maz mag :
barikiwa mtumishi
2025-04-09 09:37:33
1
To see more videos from user @rgcministry, please go to the Tikwm
homepage.