@maternitylounge: je wewe ulipitia chagamoto gani wakati wa ujauzito?#mother #pregnancy #fyp #vira #capcutamor #babies#fyp

maternity lounge
maternity lounge
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 29 November 2024 04:02:32 GMT
285366
3840
391
282

Music

Download

Comments

estermwagize
Tunu ..........🥰🥰 :
hali hii naipitia mm saiz ad nahis homa so homa sili kabisa na mwili unakosa nguv ni ya miez 2
2024-11-29 07:13:46
10
user2938698119184
Letty msusi🎀 :
jmn kuna mm kichef chef ham ya kula sin ila napata njaa,lkn sjui itakua n mda gan maan mara y mwisho period 17/11/
2025-02-05 14:56:31
1
nilham.chuo
f@rh@na :
jmn mi naomb mnisaidie kitu nashindwa kuelewa makadirio y utrosound nimeambiwa nitjifungua 26/6 haraf clinik nimeambiwa 27/7 kwhy hpo majib yap ni sahihi naomb ushaur
2026-04-01 21:05:18
0
rihana.joseph5
Rachel 🥀🥀🥀 :
Sina hamu ya kula kabisa na kichefuchef
2026-07-27 20:31:23
1
wa.g07
It’s renny :
Mwezi wa pili wa mimba🙌🙌🙌🙌😭😭
2026-04-13 13:40:04
1
user9769674226115
linah😍 :
doctor na hii ya kutotamani kukutana na mwenza wako ipoje 🙈
2025-01-05 00:28:48
1
sharoonnjau6
Sharoon njau❤️🐌🌹 :
Mmi nna week11 na 3 days lkn nikiskia njaa kidgo natetemekaa ila kunywa maji nashindwa niknywa natapika nifnyje?
2025-01-16 18:19:40
0
ester.evarist
£ ❤️ :
mimi miezi saba ila tumbo dogo jaman yan lipo kama la miezi minne
2024-12-11 18:48:26
0
lisa.temu
lisa temu :
Me nisaidie kichefuchefu kinazidi sana alaf kula siwez nisaidie dawa
2025-01-17 18:06:05
0
user9727707581748
Minah Dimpo❤️ :
mm ni miezi miwili madam lkn homa haziishii kutapika sio poa, na uso umeharibika sio poa an chunusii tiiiii
2024-12-18 16:06:44
1
jakie.swai
jakie swai :
doctor yangu ina miezi saba na wiki mbili ila mtot achezi sana naona tumbo zito mpaka kutembea shida anacheza lakin sio sana
2025-01-24 16:50:25
0
mamu_collection_
mamu :
hy miez miwili hapan kwa kweli 🤣 🤣 afadhar saba unakula hata ukichoka ila unakula chcht
2025-01-11 10:23:12
1
.francinekabwe21gma1
kabwefrancine :
my p ya mwisho ni le 24/10/2024 ,matarajio ina weza kuwa tarehe gani ,mwezi gani?
2024-12-24 22:07:40
0
lizzydeus953
black queen 👑✨ :
mimi ndo ina mwezi na weak kama tatu lakn tumbo linauma sana
2024-12-18 15:04:23
1
officiachichiog
💘CHICHI💘 :
Dr. yangu inaelekea miez mitatu ila kuna mda naona vitone vya damu shida nini
2025-02-04 22:03:52
0
user26788755930
m J :
mie nina ina mwez ila kula yangu ni makongolo na ndiz za kuchemsha
2024-12-30 18:14:29
1
devothamvungi
devothamvungi :
miezi 9 hivy mtot hachezi san au n tatizo
2024-12-22 08:09:44
0
esterluambano
ester :
sasa tutumie nn kuwa sawa mwanzoni uku
2025-02-23 07:42:43
0
www.tiktok.comblaize
GLORYBEE🐝♥️ :
mimi na mwezi 1 yani nimepungua sas sjajua shida ni nin badala ninenepe jmn
2024-12-16 12:20:58
0
ms.yusra5
Ms.Yusra :
Mtoto anaanza kucheza muda gn
2024-11-29 11:48:56
1
ukongasweetheart
Ukonga Sweetheart✨ :
😢mm nyonga zinakaz sn tangu miez miwil tu huu wa 3 mtot wng w kwnz ana miaka 12 yan nikifny kaz y kuinam nikinuk km znatak kuvunjika🥴nifany nn
2025-01-29 07:41:45
0
user3791110631281
subrah :
naelkea miez 7 nyie😅nachek kama mazr
2024-11-29 12:06:24
2
hawa.jumanne2
Hawa Jumanne :
et dr kulia hovyo kwa mjamzito kunasababishwa na nn
2024-12-23 10:44:04
0
user3130569880588
🌺lizy🌺 :
samahani docta niko nje ya mada mm nikishatoka period nikikaa siku ata 4adi 5 napat maumivu chini ya kitovu na hayo maumivu hayadum ni siku2 tu
2024-12-30 19:03:46
0
zuuh390
Zulph@♥️🌹 :
jaman miez saba mbali mimi miezi mitano nishachoka anacheza balaa mungu nijalie kher aje acheze mikononi jaman😘
2025-09-29 09:10:02
4
To see more videos from user @maternitylounge, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About