@faridabeautyacademy: CHUO CHA UREMBO NA USUSI BADO TUNAPOKEA WANAFUNZI WAPYA TUPO DAR TEGETA NYUKI ☎️ 0657292650 Chuo kimesajiliwa ZINGATIO: Nafasi ni Chache Lipia ada mapema DARASA LIJALO LITAANZA TAR 02/12/2024 Gharama ya Fomu ya kujiunga ni (10,000) Fomu zinapatikana chuoni na whatssp TUNATOA MAFUNZO YAFUATAYO👇👇 1.kusuka nywele aina zote na Kupamba maharusi ,kufunga malemba (mambo ya salon kwa ujumla kuosha,kuseti n.k) Ada: 300,000 Muda: miezi mitatu 2.FULL COURSE (HAIRSDRESSING Kwa Ujumla ,MAKEUP na KUPAMBA MAHARUSI ,FACIAL,WAXING,KUBANDIKA KUCHA na KUPAKA RANGI ZA KUCHA ,KUFUNGA MALEMBA,) Ada: 600,000 ( mwanafunzi atapata cheti) Muda: Miezi minne NOTE :HOSTEL ZIPO Ada :100,000 Muda: Mwezi mmoja Utapata maji,godoro, umeme,kitanda ila chakula unanunua canteen MAHITAJ YA MWANACHUO ni (158,000) utapatiwa Makeup set kwa ajili ya mazoezi,Tishet Mbili, Taulo , seti ya vitana ,Passport, Kitambulisho cha mwanachuo NOTE:Mwanafunzi unapaswa kuwa na rasta angalau bunda moja kwa siku kwa ajili ya mazoezi TUNA MADARASA YA YOUTUBE BURE JINA FARIDA OTHMAN GUSA LINK KUJIUNGA👇👇 https://youtu.be/D_mYj2FXMb0?feature=shared
FARIDA BEAUTY ACADEMY
Region: TZ
Friday 29 November 2024 06:51:54 GMT
Music
Download
Comments
Awut Agau :
I want some one to come and work with me here in South Sudan
2024-12-02 15:38:59
0
Cecily🕊 :
da farida naomb nion hostel
2025-01-15 16:55:35
0
Am💫 reymah❤️ :
Dada nataka kuja darasani nakupataje
2024-11-29 09:14:21
2
dijatysaid :
simple makeup mnafanya bei gan
2024-11-30 16:43:58
1
Miri 🌹💋 :
iyo lipstick pallet sh ngap
2024-11-30 04:56:52
1
rreby_1 :
yaan cant wait kuja darasan January🥰🥰🥰
2024-11-29 08:29:42
1
aishahamis003 :
habari farida Nina mdogo wangu,nahitaji aje darasani kwako,lakini Nina ada nusu je utanisaidiaje kipenzi ninauhitaji.
2024-12-03 19:10:56
1
@Lara :
vous êtes dans quel pays
2024-11-30 19:10:11
1
To see more videos from user @faridabeautyacademy, please go to the Tikwm
homepage.