Serikali wapeni uraia hawa vijana wamelala kwenye tumbo la Mtanzania wawe huru na kila kitu..Baba yao Kafanya makubwa kwa uzalendo wa Taifa Letu kuliko hata mawaziri wa Utalii wote waliopita..
2024-11-30 06:17:50
316
KIBACHA universe :
mnatutangaza sana.
serikali yetu iwaangalie kwa jicho la 3
2024-11-30 02:36:22
67
raregem :
Ila kweli Tanzania wangeruhusu uraia wa pande mbili.
2024-11-29 23:04:31
26
Samuel Shukur 🤴 :
Hii ngoma kali sana nimependa sana chorus ya bongozozo
2024-11-29 17:54:30
26
Hehe :
hy mtoto w kiume kafanan na baba ake balaa
2024-11-29 22:08:06
16
Hidaya :
nilivo emotional sijui kwann naliaa
2024-12-01 11:10:22
11
zhunmama🇹🇿💍🇨🇳 :
imenibidi nicheke kwanza nlivoskia huu wimbo, Lakin nimefikiria kwa undani zaidi it's so sad🥺😢 kwanini wasipewe uraia wao jamani kwasababu mzaziwao mmoja ni mtz HAKI sawa kwa wote wasibaguliwe jaman
2024-11-30 19:44:02
11
cley soil :
ila bongozozo😅😅😅
2024-11-29 17:37:11
10
sweet B :
wapen uraia jaman
2024-12-25 05:48:38
8
creative designer :
Tanzania government should take this to consideration
2024-12-12 20:18:40
8
Desmond_jr :
I can't stop rewatching this, great song
2024-12-01 08:01:13
7
frankdimiango1 :
hahaha 🤣 hivi bongozozo uko sawa kweli
dah kichwa chako ww
2024-11-29 21:36:17
7
xaj :
Dual Citizen ship is very crucial #tanzaniaimmigration
2024-12-31 07:01:40
5
faith_thenics :
Kitu ambacho watu weusi hatutakiwi kukifanya ni kuamini ngozi nyeupe ya Aina yoyote hata wakoloni walitumia akili sana kuingia Kwa wa Africa
2024-12-31 03:50:08
5
WOMEN OF DESTINY INT :
ina linda nini😁 nchi imebaki mashimo na giza tu..halafu usalama gani msema na nchi ina jeshi thabiti😅😁 linaopopeka sema katiba ibadilishwe ubinafsi tuuu
2024-12-30 18:53:30
5
Monicakimory :
nilikua emotional then nikacheka baada ya bongozozo kuimba.. 😂😂😂 but anyways Tanzania 🇹🇿 inabidi tubadilike..
2024-12-14 11:33:34
5
BIG :
Onesheni uzalendo,chagua moja, kusuka au kunyoa. Usibabaike na uropean passport privilege
2024-11-29 18:24:06
5
Watu Huru :
Dual citizenship si salama kwa usalama...chagua moja wewe Mtanzania au si Mtanzania...Angalia leo America wanasiasa wenye uraia pacha kati ya America na Israeli wamekuwa vibaraka wa Israeli.
2025-01-01 22:53:15
4
Vaeen Mkorea :
Give them hawa wanatuwakilisha vyema sana hasa baba @bongozozo hakuna mtu anatembea duniani nankuitaja Tanzania kama father Bongozozo 🫡
2025-01-01 15:20:37
4
H_entropy :
Serikali inaamini kuwa uraia wa nchi moja unaimarisha uzalendo, uaminifu, na uwajibikaji wa raia kwa taifa lao.
2024-12-28 12:15:58
4
User345781710🇰🇪 :
ebu mtanzania afanye hivi kwao,utakufa vibaya nakuhurumia 🤣🤣🤣🤣
2024-12-23 23:54:29
4
king Kivu :
watoto wamefanana na babaao mbaka akili 😂🤣🤣🤣🤣🤣
2024-12-19 07:10:47
4
janeth :
watakupa uraia usiwaze
2024-12-15 16:18:38
4
ramxanecho :
this z a true definition ya neo colonialism... now sounds like it's forced
2024-12-12 17:52:13
4
maulid boy :
bongo zozo ni mtanzania bhana wew kaa rekax nami nakuja oa jesca usijali
2024-12-01 07:42:01
4
To see more videos from user @bongozozo_tanzania, please go to the Tikwm
homepage.