@gapowertv: GA, POWER TV Tunatowa Shurkani Zetu za Dhati Kwa Mashabiki Zetu Pamoja na Wadau Tofauti Tofauti Kwa Kuendelea Kuwasapoti Watu , Tofauti Tofauti Isusana Watu Wasiyo Jiweza, Pale Wanapo Hona Interview Zao Hapa GA Power TV …!^>> Atimae Bibi Aliye Fanyiwa Interview Na Sisi Weeks Mbili Zilizo Pita Mzigo Wake Umemfikia Chakula, Mafuta, Nguo, Kiatu, Pamoja Na Pesa LAKI MBILI Za Kitanzania, Leo Zimemfikia Mzee Wetu , Tunatowa Shurkani Zetu Za Dhati Kwa Ndugu Jamaa na Marafiki Wote Waliyo Jitolea Kumtolea Mzee Wetu Huyu..!! Akika Mungu Aitwe Mungu Na Msichoke Kuwasaidia Wengine Wale Wanao Itaji Msahada Wenu , GA POWER TV Ni Chaguo La Wote… #Amen Full Interview Tayari Ipo You Tube Channel Yetu Kwa Sasa #AfricaIsWatching #GAPOWERDIGITAL #AmericaIsWatching
gapowertv
Region: US
Friday 29 November 2024 17:48:34 GMT
Music
Download
Comments
ALIKIBA OG 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🙏❤️ :
nipe namba zako za WhatsApp
2024-11-30 00:35:13
0
To see more videos from user @gapowertv, please go to the Tikwm
homepage.