@rgcministry: HAYA NDIYO MAFUNDISHO MAGUMU YA YESU KWA KIZAZI HIKI || EV DANIELY JOSHUAN

rgcministry
rgcministry
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 30 November 2024 09:00:00 GMT
236720
11559
499
2633

Music

Download

Comments

jmafyaclinic
Malyo Healthcare,+255740245164 :
MWANAMKE UNAYESOMA HII COMMENT MUNGU AKUBARIKI SANA NA AKUPE MAISHA MAREFU NA UZAO MWEMAA
2024-12-03 10:25:46
72
virginmother001
Mish :
😂😂😂God please guard my mouth,I talk too much
2024-11-30 09:14:15
21
kikwembo
Kikwembo M :
Kijana mdogo mwenye Neno la Mungu lililonyooka bila chenga.
2024-12-01 08:43:50
34
ibradesigner1
Designer :
Na shetani sasaivi anawatumia sana Wanaoshinda makanisani na Misikitini ... Shetani amebadili Agenda asaivi
2024-12-02 08:13:23
10
macnotengwira919
Macnote Ngwira :
Sorry, mafundisho ya kuhukumu watu, kutishia watu, kuwapa watu hofu ni mbaya sana, hubirini upendo wa Yesu uliofanyika msalabani
2024-12-06 03:25:05
8
malkia_lukundo
Malkia Lukundo :
Makanisa yalituumiza hata bora tuwe chini ya shetani,😂😂😂
2024-12-03 07:30:54
3
choclyn
Choclyn :
Wewe ni yatima huna mtu wa kusimamia, hujapata mume, upo mji wa mbali na eneo ulilozaliwa ukijitafutia chochote kitu unasali zako Lutheran kila jumapili alafu kuna mtu anakwambia wewe ni wa shetani🤣
2024-11-30 21:07:37
5
dominicatarimo
dominicatarimo :
Natamani kujua uvaaji wa mtu aliyeokoka anavyopaswa kuvaa
2024-11-30 09:25:22
2
adv_bakilana
Eric Bakebula Paul B :
this is big. teachings za kiwango cha juu sana. Mungu ni mwema sana kwa kuruhusu mahubiri ya namna hii tusikie tupone. preach.
2024-11-30 15:36:37
16
jacquesdol8
Jacques Dol :
Kwani kwenye 10 commandment Kuna mavazi eee kwani wamasai jee wanavaa je wahanzqbe jee kawahubirie uone na mavazi yao .Matayo 5 heri wenye moyo safi ndio watamwona Mungu
2024-12-01 07:57:09
2
dktrackstar
DK IN THE MIX :
Kwann hao wa dada wamesimama apo mbele afu wakakaa?
2024-12-01 07:47:46
1
andycool_2022
Huỳnh Việt Hùng :
Ukisoma comments za wanawake utaelewa kwamba baadhi yao ni wajinga sana. Mungu ni samehe sana
2024-12-12 04:32:24
2
damasoka3
Da masoka :
Asante. hila wanaume wengine awajielewii.awawezi kuwongozaa..
2026-02-11 20:48:11
1
wamarata
B.M. :
fact
2024-12-07 02:13:29
3
ubongotulivu
🫵 :
Acha kukimbilia comment za watu malizia kwanza kusikilizwa mahubiri
2024-12-01 08:30:14
10
naominkatha0
naominkatha0 :
ona huyu fala,bado watu wanabebewa akili?
2024-12-02 21:49:20
0
johny4331
johny :
Amen
2025-01-12 00:16:36
1
akinsnyabari108
Solomon :
amen
2024-12-17 01:15:03
1
user9430838118111
Aneth jongo 😘😘 :
Uwezi kupata injili kama hiii kwa sasa ni chache sana wamejaa matapeli manabiiii nachukiaa sana✍️
2024-12-04 13:07:01
3
akim112001
Akim112001 :
very true pastor.
2024-12-03 09:28:47
4
rackelwinner8
Khourtney🍾🍾 :
Ladies😂😂😂😂😂😂😂😂 acheni matusi 🤣🤣🤣🤣
2024-12-04 14:13:20
2
evlyne.nishimwe
Evlyne Nishimwe :
nguruwe😃😃🥺🤗
2024-12-04 17:40:32
1
gressimohelson
NatureIsBeautiful💧🌌✨☀️🌙 :
Anapatikana wapi huyu mtumishi nianze kwenda kanisani kwake, nimekuelewa Mtu wa MUNGU 💪🙏❤️
2024-12-13 22:42:41
1
joshuawekulo51
Pst weinganga joshua :
Good news of the lord amen
2024-12-02 21:44:41
2
miss.tee210
Tee’s vintage stores💃👗 :
Amen
2024-12-01 07:16:31
2
To see more videos from user @rgcministry, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About