@dalalizanzibar: KIWANJA AMBACHO KINA FOUNDATION KINAUZWA KISAUNI SARAYEVO #unguja #zanzibar Umbali kutoka kwanja vilipo mpaka barabarani Mita 200 Vyumba 4 (Master 2) Ukumbi, Jiko, Public Toilet, Stoo Nafasi ya fensi Ukubwa wa kiwanja Ft 68x57 Bei Tsh 16,000,000/= #mtegemeachanduguhufamaskini #kimfaachomtuchake #sisiniwahadhizote