@mic.technology: 💎Kuzuia sim na sms zinazotoka( asimpigie/kumtumia meseji mtu) *33*0000# *33*1111# *33*1234# 💎 Kuzuia sim na sms kuingia *35*0000# *35*1111# *35*1234# Ili kurrudisha lain kama kawaida, tumia code hizi ✅#33*PIN# na #35*PIN# ✅#330*PIN# NB: PIN ni 0000 au 1111 au 1234 #UsalamaWaSimu #BlockSimu #BlockSMS #MaujanjaYaSimu #Teknolojia #TipsZaSimu "