siku ya kwanza kupanda basi ya mkoa nilifika taya zinauma maana nilikuwa nafunga brek ya mdomo
2024-11-30 14:19:57
80
msemaji wa wanaume duniani :
dere wa bus alisha zidiwa na ashajaa sana kajiamini hapo hizo taa kakupiga ili ucheze fea wewe ndo ungechagua ukaze muende peponi au utoe mbaki dunian
2024-12-01 06:37:38
18
Mr pikipiki :
shida anayo huyo dereva aliyekuwa ana record hajui lugha na za ishara udereva.
2024-12-01 04:36:50
26
BA :
Anawasha mataa ni Kama akikugonga yeye haumii
2024-11-30 15:39:55
25
xander :
mm nakupongeza mzeee ulifanya uungwana sana kuwaachia nafasi kubwaa wee huna roho mbaya kbsa japo makosa yalikuwa kwa dereva wa bas but ulijari usalama wao pia hongera sana barkiwa sana
2024-11-30 17:29:13
13
Joe :
the lights to be banned 💀💀💀
2024-11-30 19:14:34
10
KATUMBA256 :
these lights are for world Cup 😅
2024-12-07 19:08:21
10
official_dancerone :
pisha chuma itembee😂😂
2024-11-30 11:56:47
9
Allmurat❤️🌹 :
yani inge kuwa wew ndo mume wangu ninge funga siku 3 kisha sikuya kurudi nyumbani ninge kuombea dua mungu akuepushe na mitihani kisha ninge kupa tasbih kila unapo tok nyumbani usiache kumtaja allha
2024-11-30 15:11:34
5
beka98 :
tulia tunawah mbele mzeee
2024-11-30 10:19:55
5
Mt4real :
anashindwa kusogeza hata gari pembeni mpumbavu sanaaa huyu dereva ..... mtu kashawasha taa kwamba amejaa ila kusogeza kidgo u akaza!... Madereva wengin pumbavu kabisa
2024-12-07 11:14:56
5
james :
overtake bus accident kill🥺
2024-11-30 13:46:22
4
@carson :
habiria pia wapumbavu tu
2024-11-30 11:08:39
4
dennismainawahath :
Yaani dereva wa basi anajaribu kukuambia "Songa ama utakufa sasa hivi"🤣
2024-12-01 14:26:27
4
Mukod👟👕🎽👖💫 :
madereva wa mabas wanaamini wakichelewa kufa Pepo zitajaa
2024-11-30 11:34:14
4
Waziri :
saluti kwa madeleva wa maloli wamempa feya uyo w bac dah
2024-11-30 17:39:25
4
khati_boy :
mwanang umepigwa taa szani kama uliendlea kuona vzr
2024-11-30 11:48:52
4
Khaji khan :
fala kweli kazidiwa anawasha full right.. badala ya kupunguza mwendo
2024-11-30 19:51:06
3
noel_audax :
huyo jamaa alikua amesha shika kitasa cha mlango
2024-11-30 16:57:57
3
president Bankaa :
kaeni wawavunje
2024-11-30 06:39:18
3
Zulu nation ✨ 🫅87840333747857 :
Tz drivers are reckless drivers 😔😔😔
2024-12-01 12:00:07
3
Brithnessy Payovela Frida :
ulisema ukipata basi utafanyaje vilee😅😅
2024-11-30 07:48:18
2
mcqueenshakespear :
Sasa mataa kama hizo Hadi huoni na bado anataka umsogee... pumbavu sana
2024-11-30 20:18:42
2
~R.M.T :
unamwachia tela tu
2024-11-30 10:19:40
2
𝐌.𝐞.𝐠.𝐚_(𝐧) :
mtu anatoka Njombe anaenda Arusha anakuomba site inabid umruhusu tu anaenda mbal bhana na ww 😅
2024-12-06 10:46:51
2
Man vesso :
kaka kaka mamae 🤣🤣
2024-12-23 18:41:29
2
Rael Azizah :
Sisi tunajua madereva madeleva n wako
2024-12-22 15:13:16
2
Sila Nditi :
usipishe kwanza ndio upewe jibu
2024-12-07 15:07:29
2
Nick :
uyo anauzanga ma foreign na mjua ni pedi wangu😂
2024-12-21 17:42:10
2
George Mhando :
wasenge sana
2024-12-01 08:54:37
2
mission town :
yan haw km wanabeba watu lkn useng mwing san😡
2024-11-30 18:31:39
2
ROYAL LINER EXPRESS :
Ww unaendesha gari unarecord
2024-11-30 14:31:20
2
seniorsgnt :
na huu ndo utamu wa basi sasa.. 🤣
2024-12-05 16:31:47
2
petrohezloni :
ungepeleka chuma mtangazwe kwenye taarifa ya habari
2024-12-23 17:47:08
2
Jamal salum :
peleka chuma unaogopa nn kufa kulala
2024-11-30 19:10:14
2
mahimbo's :
kimotco hiyo ya arusha njombe
2024-11-30 14:05:44
2
vikahfashion :
huyu anafaa ashikwe
2024-12-01 16:14:22
2
DR KATEMA🩺 :
mamae😂😂 ukiwashiwa taa hv kimbia
2024-11-30 12:57:43
2
Old friend :
jamaa wanazinguwa ila ni kuwa vumilia tu maana mamlaka sijui hawawaoni
2024-11-30 11:15:28
2
Sammy Bwoy :
matako yao hua wanajiona wao tu kwa barabara
2024-12-20 16:52:01
2
war boyy☠️ :
unge mppelekea chuma alf muachie bodi iyo miguu yake tulikuwa tuna shida nayo
2024-12-01 08:14:51
2
Trucker Hez🚚🚛🇰🇪 :
Nilidhani ni kenya tu kumbe ata tanzania madereva wa bus akili zinafanana😏😏
2024-12-01 17:08:36
2
office b :
Wana wambia wana wah anawai wap
2024-11-30 12:30:05
2
Dann Onkui :
Iende irudi
2024-12-07 21:07:19
2
tito cathbert :
huwa wanawawai matrafic wa tochi kabla hawajakaa kwenye vitengo.
2024-11-30 12:29:18
2
Dr Ern :
ndio maana madereva wa mabasi wanagongwa na nyuma vichwani wanakufa mnaona watu wanaroho mbaya😂
2024-12-07 11:37:48
1
yuzzo boy68103508119250 :
kuna maisha mengine baad ya aya ayo nimavyuma tyu kama unaamin ivo gonga apo
2024-12-06 18:33:30
1
chelsboy💙 :
yellow lini iko wapi kwanza
2024-12-22 14:55:09
1
denniskoros6 :
siku moja watapatana na trela
2024-12-06 19:29:37
1
To see more videos from user @wanyata.tz, please go to the Tikwm
homepage.