Siku ya mwisho inatisha na inaogofya, nalia sana nkiifikiria 😭
Allahumma inni as'aluka husnal khaatima 🤲
2024-12-01 12:27:28
137
Jamila❣️ :
sisi sote ni maiti watarajiwa,tunamuomba Allah atujaalie mwisho mwema mimi na yule anaesoma msg hii Amiin🤲🤲🤲
2024-12-01 16:38:50
116
user2268716126592 :
story zajaba tuacheni jamani
2024-12-01 17:22:13
7
Hudhaifa __10 :
Na iogopeni Siku ambayo mtarudishwa kwa Mwenyezi Mungu, kisha kila nafsi italipwa ilicho chuma. Nao hawatadhulumiwa. 2:281
2024-12-01 12:36:58
56
fem 🌹 :
mimi naogopa sana siku ya kwanza kaburini 😢Allah atujaalie husnul khatimah
2024-12-01 17:22:48
23
gres :
ilaa jaman mbn mnatisha watu iv wakristo tusiogope
2024-12-01 17:19:21
3
Fanta tamu :
walahi naogopa kufa
2024-12-01 18:44:59
6
victor :
kwa tumbo ya mama unasikia nini unaona nini....jaba hio 😂😂😂
2024-12-02 19:44:11
0
maimartha :
hapana maiti hajui lolote acha kupotosha watu
2024-12-02 18:01:09
0
sethjohn532 :
sheikh sasa na hao wanao choma ndugu zao wanakua majivu itakuwaje siku hiyo ya ufufuo ikifika
2024-12-02 01:39:08
2
Fetty ♥️♥️74 :
nakubaliana na ostaz nikweli kwasababu kwamfano kuna njozi unaweza kuota umeonana namtu alie kfa sku nyingi nammeongea hii jamani ipo
2024-12-02 04:40:26
3
MISS ZANZIBAR 🌺🌹 :
Nikiwaza kifo changu nakosa hamu ya maisha 🥺🥺🥺🥺🥺
2024-12-01 20:49:15
5
mu-injilisty ptah :
jaba
2024-12-03 11:45:27
0
Tom blessen KE/ Kanakulwa :
niko na swali mwalimu.. umesema kwmba after kufa kutakua na restoration kwa kila aliekufa..je mtu km alikua kibofu ama kiwete..bdo atarudi vilevile ama MUNGU atamgeuza kwa hali sawa
2024-12-02 18:16:25
1
aishamussa968 :
Allah atupe mwisho mwema 🤲🥲
2024-12-01 18:19:18
6
omarborjesh :
Allah ninusuru na adhabu Yako siku yangu itakapofika Mimi pamoja na aali zangu pamoja na waisilamu wote waliolala kwa idhni Yako Ameen inshallah
2024-12-01 15:56:52
10
Fatma Othman :
yaaarab tujalie mwixh mwema
2024-12-02 14:02:44
6
sabri :
tena msizitie izo ala zamuziki ayo mawaidha acheni mzaha muwe na nizamu
2024-12-02 03:54:24
3
emmylizzycute❤️ :
mtu afa saa moja saa mbili kazikwa asisikie muchezo lazima asikie
2024-12-01 17:49:48
3
mina kiwanga :
kwann msiumrudishe hai sasa maana kama anasikia nakuona hajafa huyo,, labda hamuelewi nin maana yakufa
2024-12-02 17:41:38
1
osborn :
acha uongo osthadi
2024-12-02 14:22:43
1
rushainah-chibu😊 :
Allah Aqbar Allah tupe mwisho mwema🤲
2024-12-01 15:04:14
6
fatmaattas199 :
allahu akbar, ndugu hakuna la ajabu kwani uliishi vp tumboni kwa mama?Allah anaweza yote allahu akbar
2024-12-01 16:05:27
10
To see more videos from user @hemedjumaa, please go to the Tikwm
homepage.