@mkongolee: Ila ndoaaaaa ๐๐๐๐๐๐ #tanzaniatiktok #ugandatiktok #kenyatiktok #rwandatiktok๐ท๐ผ #burunditiktok๐ง๐ฎ #congolaise๐จ๐ฉ #jitujeusi #trendingvideo #comedyvideo #goat๐ #video #viralvideo #fyp #viral #๐๐๐๐๐ #๐๐๐๐ #fy #foryoupageโค๏ธโค๏ธ #Relationship #relationshipgoals
Jitu Jeusi
Region: TZ
Sunday 01 December 2024 17:33:36 GMT
Music
Download
Comments
Radhia kimu๐น :
๐๐๐๐wee mi sfutagi nabadilisha jina kutoka kwenye my love had kwa jina alopewa na baba ake๐๐๐๐
2024-12-01 19:31:00
305
Siphah Maganga :
๐๐๐๐Na nko kwny ndoa nafutaga kila ktu bdae naanza mumewang hvi zile picha tulipiga wte nlikutumia unazo naziomba anacheka eti ulifuta kumbe ๐๐
2024-12-01 17:49:45
112
Minnie๐ฅฐ๐๐ธ :
nikikumbuka nafuta namba af ninazo kichwan๐คฃ๐คฃ๐คฃnaishiwa nguvu๐๐๐
2024-12-03 08:44:24
103
Annie :
Marriage is not for the weak oohhhh๐๐๐๐๐
2024-12-01 17:41:07
52
nafisa :
nipo kwenye ndoa na akizingua namblock na nafuta namba ctak mazoea tukikaa sawa nasave tena
2024-12-01 18:24:38
22
user1919484502851 :
nimefuta alafu na mmiss sasa lkn kwa hii kuburi changu simutafuti ila namumiss nyinyi mwambieni bc anipigie bc naumia๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
2024-12-02 06:20:59
21
bottodadytz :
Wemsenge utakuja kunivunja mbavu kwa kucheka yani nimecheka mbaka machozi ya metoka ๐๐๐๐๐๐๐๐ eet ndoa utaiweza wewe ๐๐๐๐๐๐
2024-12-02 11:32:08
18
bry jun๐ซฃ :
namba sfut alikua honey anakua kisepe
2024-12-14 23:53:16
17
jenny27 :
shida ata si kublock shida ni kubrock๐๐๐๐
2024-12-27 00:57:07
10
Rich d4 Frozia๐ฅฐ๐น :
๐๐คฃ๐afu zikipita cku mbili unaanza kujiuliza cjuh number niitoe kwa ubonqo
2024-12-01 17:47:11
10
lusbertmbwana5 :
mie huwa nafuta na namba sijaikalili wee patamu hapo
2024-12-09 17:44:19
8
Grace Mahenge :
kila siku ndo mambo yangu na hatuachani๐๐๐
2024-12-02 20:39:41
8
ivaotieno :
niliblock nikasahau๐
๐
nashindwa bora sipigiwi
2024-12-02 11:11:49
7
Dee :
๐๐๐๐๐ iyo ndo kaz yangu kila siku ๐๐๐๐๐๐ unajua kunifurahisha we kaka ๐๐
2024-12-02 03:55:28
7
user152361868283 :
IKIWEZEKANA Wamiliki wa TikTok wawe uwezekano wa kudownload vidioe na comments
2024-12-11 09:16:09
6
bhokehellen3 :
nachange hadi vile nimemsave to his Id names๐คฃ๐คฃ๐คฃ
2024-12-06 10:30:58
6
dr.ummy1 :
mimi kabisa uyo uwiiii hapa mbona unanisema mm kabisa๐๐๐bila kusahau nafuta na jina kwenye namba yake ๐๐๐
2024-12-02 20:26:56
6
iambry_milips ๐จ๐ฆ๐น๐ฟ :
alooo surving is winning wanandoa๐๐๐
2024-12-02 04:38:50
6
Makoka_fitness_fabulous :
block unblock block unblock ๐๐
2025-01-22 11:47:00
5
Gladwell334 :
talking to me indirect ๐๐๐๐๐๐๐
2024-12-18 21:02:44
5
Felista501 :
hahahaha hiyo mbaya me nabadilisha jina tu kama nilimsevu my love ntasev jina lake au lolte mbaya tu
2024-12-04 07:00:44
5
user235098274478 :
๐๐๐mbn tupo wengi tuna pambana na ndoa zetu ๐๐ akiamungu na stutus juu๐
2024-12-02 04:58:54
5
Mercy scott :
me kwanza nliwa nimempin nimeunpin staki ushenzi mm akwende huko
2024-12-01 17:58:14
5
ninaah๐ฅ :
nakukubali saan bro
2024-12-01 17:38:48
5
kedry255 :
me siiwez niliwah choma nguo zake kisa alilal nje๐๐๐๐
2025-01-01 05:02:27
4
To see more videos from user @mkongolee, please go to the Tikwm
homepage.