@ankomafix: #wasafitv #morocco #ppppppppppppppppppppppp #dubai #crawnmedia #clouds #dar #mbeya #morogoro #tunduma #kigoma #tabora #shinyanga #dar #malawitiktok #tanzaniantiktok #japanese #kimtaehyung #habeshatiktok #southafrica #china #wasabi #kimtaehyung #habeshatiktok #southafrica #kenya #zanzibar #morocco #alikiba #wasafitv #dimondplatnumz #mafia #mwanza #nairob #kampala_tiktokers #tanga #arusha #msumbiji #videotrend #bongotrending #indian #video #alikiba #watubaki #afganistan #mumbai #kenyacomedy #crawnmedia #same #
anko mafix
Region: TZ
Monday 02 December 2024 04:07:30 GMT
Music
Download
Comments
Redrozi :
kwa suti iyo we hata ukoko gombea 🤣
2024-12-02 09:28:41
634
Da ninoh😂💔 :
Sasa kwa taarifa yako hio ulovaa ndo suti maharage😂😂😂
2024-12-03 06:40:12
341
Biggie :
Kuna mtu juzi nmemuona kavaa suti anatembea kwa mguu af anakula muwa 😅😂
2024-12-02 06:40:24
254
stepintostyle00 :
🤣Kuna wengne suti unavaa unakimbilia panton unakimbia toka machava ad feri koti nyuma linapepea🤣🤣ninyamaze
2024-12-02 06:38:12
85
Mwajanga jr :
uncle kwa suti yako iyo halali kugombania maharage 😂
2024-12-02 06:08:44
84
edwardbenedictoo :
sasa mjomba suti unayoiongelea ndo hiyo umevaa au kuna nyingine inakuja😂😂😂
2024-12-03 20:57:51
58
Mohabhezzz Loveo :
Afuweee Kuma Kungekuwa Nauwezekano Wakukufollow Hata Mara Alfu Ningefanya Hivyo, Unanitoa Sana Stress
2024-12-15 08:08:42
24
linah Andrew :
anko unahauhakika hiyo uliyovaa ni suti?😂
2024-12-14 09:41:35
6
Jasmine avatar :
Hivi unaongerea suti gani iyo uliyovaa au? 😂😂😂
2024-12-04 05:16:11
7
mohmds :
Mjoomba suit hawaiwez
2024-12-02 08:47:52
15
Mr' objective :
suti watia karanga mfukoni😀😀
2024-12-02 07:03:30
14
Lumen vipodozi :
anko mbona hiyo sut uliyovaa ndo yakuombea maharage sasa😂😂
2024-12-06 13:47:58
26
Bencraze :
Maharage yanatakiwa hapa 😂
2024-12-04 17:19:37
31
ezemirror :
kaka suti unayozungumzia ni iyo ulovaa au kuna ingine🤣
2024-12-02 20:58:53
8
kinyika og :
kumbe io nayo suti😁😁😁
2024-12-03 15:21:31
5
Boifriend YG ♥️ :
lkn suti unayo ongelea sio io Kaunda suti 😂
2024-12-11 16:55:58
5
atuclassicwear :
😂😂😂 ila uncle mtu suti anabebea madumu ya maji 🙌🙌
2024-12-05 08:02:55
5
chrisse :
suti yenyewe ndo hyo anko au Kuna nyingn anko mafix
2024-12-02 16:30:06
29
GEN Z" :
hiii ndio original au?
2024-12-14 05:13:38
17
photographer NJOMBE :
😂maharage yanatakiwa hapa🤣🤣
2024-12-06 09:33:44
13
KIKUBWA UZIMA✅ :
Anko mafix🫡🫡🫡
2024-12-02 05:56:35
7
eddie_beauty_maven :
😂😂😂😂😂 ila anko mafix
2024-12-04 09:14:30
5
captain_omary :
noma
2024-12-04 14:58:51
2
hakika nchi yangu naipenda saana🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2025-01-23 20:42:40
4
naomiaisaac358 :
🤣🤣🤣🤣🤣jaman
2024-12-19 04:24:51
1
To see more videos from user @ankomafix, please go to the Tikwm
homepage.