siyo mimi tu mwenye bajaji hadi na traffic wote tumekimbia
2024-12-04 12:32:21
51
HenrY Tz :
hapa ndio tupo na dereva wa guta anatafuta mteja wa figo
2024-12-04 19:00:45
8
Charlz Nicholaus :
ingekua ist au passo ningekua na wasiwasi na kijana wa toyo ila GXR anamsamehe tu na hela ya kuvunjiwa soda anapewa....ogopa kukaribia passo na ist vtz aisee wananjaa 😂
2024-12-04 12:06:15
23
Omary Hawam :
Yaani unagari la milioni 300+ unahangaika na mtu wa guta kweli ukishuka kwenye hiyo gari unampa pole na milioni 1 akajitafute mbele huko acha kuzalilisha gari
2024-12-04 13:58:47
14
Mchizi wangu💢🇹🇿 :
Taa moja haiuzwi mpka uchukue complete 1.4m dah😂.
2024-12-04 12:11:00
8
mweu@26 :
apo kishelia inaonekana uyo mwenye cruser v8 ndio anayo makosa ata wakija kupima yeye kaovertake
2024-12-04 10:37:20
8
HOME DECORATIONS :
Kimbia umuachie hizo soda anywe na mafundi
2024-12-04 12:57:24
10
MACK🇹🇿 :
Huyo kijana nilimuagiza soda.. ila maliza hapo kwanza.. SODA HAZINA HARAKA SANA😂😂😂
2024-12-04 11:10:31
15
sultan steve :
nipp hapa mteja wa figo na bandama
2024-12-04 04:50:57
21
TIZZO :
KIJANA KIMBIAAA LIACHE HILO TOYO😂
2024-12-04 12:59:15
12
Davson DE Alloyceh :
Hapo atafigo zimeharibika
2024-12-04 12:19:34
7
juma mgogo 💅 Nails 0677740276 :
Atakae soma post hii 2025 tupo pamoja👍
2024-12-04 09:47:15
22
Emanuel Mganga :
mimi nilikuwa kwenye hilo guta nilikimbia mpaka sasa sijui niko wap😊
2024-12-04 16:28:57
7
GREATAZIZ :
Toyota nazo ni Takataka yaani imekwaruzwa tu imepasuka pasuka kama kagongwa na fuso aiseee ingekua GERMAN MASHINE HAPO JAMAA WA TOYO ANGESAGIKA
2024-12-04 15:37:54
3
Sunny rado 😎🤏 :
kasogo yeye 😂💔
2024-12-04 14:41:59
4
Jayden banga :
anauza Toyo na cret zake na flemu yote anakopeleka soda zinauzwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2024-12-04 11:44:58
2
hardsoo :
Taa million 10 inauzwa
2024-12-04 10:57:34
2
To see more videos from user @asafye.tweve, please go to the Tikwm
homepage.