@0611668056___oman__1: #zanzibar #hakuna #matata #pppppppppp

ZANZIBAR____1
ZANZIBAR____1
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 03 December 2024 03:59:02 GMT
718063
26893
1185
1232

Music

Download

Comments

crusad04
Mr. code :
kama unaamini wazanzibar ni machoko gonga apa
2024-12-23 15:15:14
403
fredrickmarwa3
toll mnyama :
utamaduni wa zanzibar upi wazenji hii ni burudani hapo sio nyumba ya ibada kila mmoja ana uhuru wa kivazi.
2025-02-06 12:30:37
0
hakuna.matata6665
Hakuna Matata🇰🇪 :
🥰
2026-04-06 18:45:11
0
embecile8
Embecile :
😳😳😳
2026-04-26 07:24:23
0
user41781378524101
Sabeth Rajabu :
Huyu Ndio Mdada Ndio Sabb Yakufungiwa Kwahiyo Alitakiwa Aoge Namashungi
2024-12-23 11:58:52
154
mj.kara
Mr. Miyagi :
Akiruka mzungu tena kavaa kichupi tu ni utalii ila akivaa mweusi…the hypocrisy 😂😂😂😂
2024-12-23 19:11:56
153
t0lbert_
t0lbert_ :
Tunaimba Znz hakuna Matata, watu wana amini hiyo kauli, wana jiachia kumbe Matata yapo….😂
2024-12-23 13:20:05
94
kingcobra235
Code#%^ :
Na mkija dar atutaki mikanzu yenu mbwa nyie
2024-12-23 13:16:58
86
marllah06
magrethherin :
utamaduni gani wakati mashoga kama yte Zanzibar
2024-12-04 10:22:17
75
mom.giovearn
lulu john☑️ :
jmn mlioshikilia pepo endelen kuona mapungufu ya wengine
2024-12-03 14:21:58
65
rubbyyusra
ruby :
msihatibu utamadun wenu msikubali watu wake hapo wakiwa uchi
2024-12-03 07:37:25
55
abdallah.habib29
abdallah.habib29 :
Subhaallah uislam umepotea mungu tuongoze ktk njia ilionyooka
2024-12-03 07:24:18
50
clay_soil_
cley soil :
Tatizo lilianzia hapo bas🤣🤣🤣 zenji bhana
2024-12-23 08:36:01
47
komu.ladyuser75228
komu ladyuser7522834600931 :
nilivyosikia kuna dada karuka uchi nikazani hakua na nguo kbc,
2024-12-23 19:24:32
45
techinfocus
INFOCUS TECH :
Mbona mnatumia Wimbo wa wakenya kukaribisha watu tanzania 😂
2024-12-23 20:31:10
31
yusufuchenga
Oggdey :
hapa ninachosoma kwenye comment ni kama bongo ni sehemu ya makafir na Zanzibar ni sehemu ya waislam🤔
2024-12-23 13:20:35
25
zacknight1750
zahir :
mmojaa hapo nyuma macho yako kwa nyashhh tuh....😂😂😂😂😂
2024-12-04 11:36:01
24
mbuziabby
@mbuzi Abby :
A few moment later🤣🤣🤣
2024-12-23 11:19:19
21
marcogaga1
Marcogaga :
Zanzibar ndo wanaongoza kwa ushoga lakn muda wote wanatumia ku deal na wanawake wanavovaa wameshindwa hata kutenga muda kudeal na watoto wa kiume
2024-12-25 10:33:40
15
gido_business
Gido_business :
Wazanzibar inabidi mchague moja sasa dini au utalii
2024-12-23 15:52:24
14
suleimani_juma
suleimani juma :
me mbona naona wote wako uchi pia nimeona eneo lenyew limefungwa 7bu ya uyu mwanamke inabaki kuwa ni unyanyasaj wa kijinsia kama unakubal gonga like apa
2024-12-23 11:33:07
14
ash_haf
Ash_haf :
Uislam. upo pemba tu. unguja unafiq mtup
2024-12-03 18:40:40
14
macklady02
macklady :
sas apo uchi ukwap nyie zenji
2024-12-26 07:20:29
13
raddyella1712
Raddyella1712 :
mbn wazungu ma beach uko wanaranda na vichupi tu jamani na hotel hazifungiwi na wanaongelea pia au uyo kisa ana matako yamewavutiwa 😂
2024-12-23 21:41:41
13
khalid.boularouz
system😎😎😎 :
kwa chupi ilo hakuna matata kwel😂😂😂
2024-12-03 08:38:43
11
msothman0
msothman :
ushaur tu weakening kanga wakija wageni wakitoka kukoga kama ivo wavishen kng ndo muwarikod ili kuboresha utamaduni wetu
2024-12-05 08:27:45
11
khamenei615
Abraham Yairo Jr :
mzee juma akiwaona🤣
2024-12-03 13:36:50
11
lifat_005
lifat_005 :
hii sasa ishakuwa too much 😭msiwarusuh wakiwa ivi wanatuharibia Zanzibar yetu😭 sio mavazi yetu ayo
2024-12-03 14:15:01
9
brightonmgonja5
Mr mgonja :
mbona iyo kawaida tu jaman kajistil kabisa uyo njoo bongo uone
2024-12-23 07:52:16
8
daisyatieno743
daisyatieno743 :
me i see nothing wrong with how she dressed this pple should come 2 our beaches in kenya n see how pple go 2 such places.
2024-12-26 11:19:49
7
my_anzal_way
THE ABDIFATAH :
no body notice guy with white t-shirt 🤣
2024-12-26 16:19:01
7
zulfayusuph7
Binti singano :
Emungu tujalie mwisho mwema🙏🙏🙏
2024-12-03 07:39:00
6
ms.3ddo
Ms.3ddo :
😂😂😂😂was mashungi necessary 😅😅😅
2024-12-05 11:01:58
6
neurotransmitter18
typing..... :
watu kama hawa nd wanakuja kutuharibia utamaduni wetu
2024-12-03 13:34:39
6
belindahkidawa
MissBelindah💞❣ :
kwaiyo hiii ndo imesababisha kufungiwa🙄🙄🙄
2024-12-23 10:32:11
5
kaim706
ᕱլꂅꂅภ :
Waisilim mbona mnajifanya watu wakufuatilia mamb ya dini sana
2024-12-03 10:52:52
5
dristz.1
قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ :
unawakaribisha wenyewe then mnasema wa bara wana haribu utamaduni wenu. wote mnaofanya ayo makacha akili hamna na wageni wenu pia hawana akili.
2024-12-23 14:12:53
4
tzar_msn
tzarMSN :
hawa wazazimbar ss apo ni uchi gn uo
2024-12-27 07:46:10
3
yusuph.amanz
Yusuph Amanz :
aaaa kumbe tatizo lilianzia hap
2024-12-26 09:53:00
3
mama.ali043
Mama Ali :
Duh Tumekwisha Zanzibar imekua Nchi ya kihuni Namna hii
2024-12-23 17:05:07
3
gchaga54
gchaga :
apo wengine wanaangalia tako uku wanaimba
2024-12-04 05:27:37
3
medy.brown6
medy brown :
mwanamme yoyote alierijali bac hapo ataona kua huyo mwanamke yupo uchi labda uwe na mushkel
2024-12-26 12:26:21
3
disminder263
disminder :
Hata hao watoto wenu wa shungi wanaongoza kwa kuamisha kuweka kwenye mtaro mkibisha tunawataja na majina tunayo😂😂
2024-12-25 16:35:36
3
favored_eve
Favored_eve :
I was so sad kwa kwl eti mmeka na utepe kama crime scene smh 😂😂
2024-12-23 07:31:39
3
kisomaplatnumz
kisomaplatnumz...!🐻 :
sasa kosa liko wapi smz kuna ubabaifu sana livingstone watu wanakaa na chupi tu ufukweni na hapo si pua na mdomo poleni wanangu wa makachu
2024-12-23 06:38:15
2
machoo_225
Machoo_225 :
mixx by yas🙄
2024-12-05 15:12:09
2
mamasblessings_911
𝘼☠︎✍︎✌︎𝙊 :
huyo dogo wa juice 😂
2024-12-05 15:07:55
2
arkamomar60gmail
[email protected] :
astaghfirullah
2024-12-05 12:23:42
2
jasmin.emanuel
kimimi j. :
mm napenda ila sijui kuogelea mtamisaidiaje hapo
2024-12-26 18:52:12
2
foremangnail3
Dragon Boe :
kesho anazaliwa mtoto mbn afanani na baba kumbe baba yk mvuvi Zanzibar
2024-12-04 20:06:35
2
wakitaaog6
wakitaa og 6 :
huo ukafiri acheni ,mnatia aibu Zanzibar na utamadu ni wake
2024-12-23 11:09:52
2
maherznj
MAHER :
Comments za umu zina tosha wallah😁🙈🙈😂😂😂🤣🤣🤣
2024-12-25 15:28:45
2
lucy.wema
Lucy Wema :
wameona kitu ambacho hawajawahi kuon mda mreeeef
2024-12-26 16:02:14
2
To see more videos from user @0611668056___oman__1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

لصلاة الصحيحة هي أداء الصلوات الخمس في أوقاتها، متطهرًا، مستقبلًا.  القبلة، مع استحضار النية والخشوع. تبدأ بتكبيرة الإحرام، وقراءة الفاتحة وسورة، ثم الركوع والسجود بطمأنينة، والجلوس للتشهدين (في الثلاثية والرباعية) أو واحد (في الفجر)، والختام بالتسليم، متبعًا فيها هدي النبي ﷺ [
لصلاة الصحيحة هي أداء الصلوات الخمس في أوقاتها، متطهرًا، مستقبلًا. القبلة، مع استحضار النية والخشوع. تبدأ بتكبيرة الإحرام، وقراءة الفاتحة وسورة، ثم الركوع والسجود بطمأنينة، والجلوس للتشهدين (في الثلاثية والرباعية) أو واحد (في الفجر)، والختام بالتسليم، متبعًا فيها هدي النبي ﷺ ["صلوا كما رأيتموني أصلي"]. خطوات الصلاة الصحيحة (من التكبير إلى التسليم): الاستعداد: الوضوء، ستر العورة، واستقبال القبلة. النية: نية الصلاة المعينة بقلبك دون التلفظ بها. تكبيرة الإحرام: قول "الله أكبر" مع رفع اليدين حذو المنكبين. القيام والقراءة: قراءة سورة الفاتحة في كل ركعة، وما تيسر من القرآن في الركعتين الأوليين. الركوع: الانحناء مع وضع اليدين على الركبتين، وقول "سبحان ربي العظيم" ثلاثًا، مع الطمأنينة. الرفع من الركوع: الاعتدال قائمًا وقول "سمع الله لمن حمده"، ثم "ربنا ولك الحمد". السجود: السجود على الأعضاء السبعة (الجبهة والأنف، الكفان، الركبتان، أطراف القدمين) مع الطمأنينة وقول "سبحان ربي الأعلى" ثلاثًا. الجلوس بين السجدتين: الجلوس وقول "رب اغفر لي". التشهد: قراءة التشهد في الجلوس الثاني (الركعة الثانية) والأخير (الركعة الأخيرة)، والصلاة الإبراهيمية في التشهد الأخير. التسليم: الالتفات يمينًا وقول "السلام عليكم ورحمة الله"، ثم يسارًا كذلك. أركان الصلاة (لا تصح بدونها): القيام مع القدرة (في الفرض). تكبيرة الإحرام. قراءة الفاتحة. الركوع. الاعتدال من الركوع. السجود على الأعضاء السبعة. الرفع من السجود. الجلوس بين السجدتين. الطمأنينة (السكون في كل ركن). الترتيب بين الأركان. التشهد الأخير. الجلوس للتشهد الأخير. الصلاة على النبي ﷺ. التسليمتان. سنن ومستحبات الصلاة: رفع اليدين عند الركوع، والرفع منه، وعند القيام للثالثة. وضع اليد اليمنى على اليسرى على الصدر أثناء القيام. دعاء الاستفتاح بعد تكبيرة الإحرام. قراءة ما تيسر من القرآن بعد الفاتحة في الركعتين الأوليين. ملاحظات هامة: الطمأنينة (الهدوء والسكينة وعدم العجلة) ركن أساسي في الركوع والسجود والقيام. يجب مراعاة "الترتيب" أي فعل الأركان بالترتيب المذكور.#قران_كريم_ارح_سمعك_وقلبك♡ #قران_كريم #قران #quran_alkarim #قران_كريم_ارح_سم

About