Hakuna msanii Africa Anajua kuvaa kama Rayvanny🔥🔥🔥
2024-12-03 07:22:26
104
ma fetty :
nyimbo za rey znafanana jaman au njaa inanisumbua🤣🤣🤣
2024-12-03 08:14:55
99
kumaloo💦💦💕 :
atlist mulibadilisha makeup artist 😆😆
2024-12-03 07:32:51
93
jemyowiti :
what happened tu this dude sikuizi ni kama simwelewi
2024-12-03 13:05:03
89
UMMY BEAUTY SALON❣️ :
Ila rayvan sikuizi aeleweki kwenye mzk jmn 😳
2024-12-03 09:11:01
84
black beauty :
Ray its okay to take a break from music,take your time ady upate inspirations,ju ngoma zako sikuizi hazina ladha kabisa yani.
2024-12-03 11:44:20
83
karl_kary :
sijui kama paula ndiye alikuwa anakuletea fans sai tuko kwa marioo😂😂😂
2024-12-03 14:32:35
66
princess terry 🥰 :
wacha aimbe hio kitu imtoke😂
2024-12-03 05:55:56
60
Awour :
we na diamond pumzikeni kwanza nyimbo mnatoa Kila saa n hazina ladha mpisheni harmo,marioo n jay n wengine
2024-12-03 08:30:35
60
Chaby 💖🐻 :
Nan mwengine hamuelew chui na hayo mapoz ckuiz
2024-12-03 19:03:08
54
Iam_tubie❣️ :
Kila nyimbo ni ex tu 😅😅 na nguo zake za pink
2024-12-03 11:27:47
49
Miss dorice💕🥰 :
🤣Uki ukilogwa vizuri hata kipaji kinapungua 🤣 Ila goma tamu mwanangu acha tuishi nalo
2024-12-03 08:09:59
44
trizabosken :
healing is a process 😂🤣😂
2024-12-03 05:27:04
44
naksh :
Sasa hizi ni gani pole pole tu hadi ufike kwa gospel 😳
2024-12-03 08:38:32
40
DICE🎲 :
Mzee uligongewa hadi wakaenda na nyota 😅
2024-12-03 15:51:07
36
ms_myra :
Kama utaendelea kumuimba paula Basi sahau kuusu mziki mzuri 🤣 mwenzio kanawili na bwana ake anatoa hit kuliko ww yan nyota yk imefifia kila unavyojaribu unabuma 💔🤣
2024-12-03 06:35:41
36
To see more videos from user @rayvanny_chui, please go to the Tikwm
homepage.