@dandevantz: Jinsi ya kusoma password ya Wi-Fi katika simu yako. #wifipassword #wifitips #mobiletips #jifunzekwadan #dandevantz

Itsdandevan
Itsdandevan
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 03 December 2024 20:06:03 GMT
479893
10222
186
561

Music

Download

Comments

billionaireblessings1
❣️ Billionaire blessing❣️🇶🇦 :
Samsung ina please nifunze nikulipe
2024-12-04 15:48:01
0
bakiy.ali
bakiy Ali :
Samsung haina
2024-12-04 09:01:39
2
jeniferjulius254
jeniferjulius🇰🇪 :
kwa sumsang akuna iyo
2024-12-04 14:22:54
2
4lrodl
4lord :
Well this is for iPhone users only
2024-12-04 19:08:35
0
adanwoshe
Adan Woshe :
hello
2024-12-05 14:46:01
0
gaza15146
Gaza :
nataka ya ipad please
2024-12-06 09:28:25
0
zemamh
Emma M. :
samsung please
2024-12-04 04:30:16
1
user8118548390288
consolatachibella :
really thanks
2024-12-05 13:37:44
0
makoa019
@makoa, :
huna loloteee
2024-12-06 09:42:58
0
joeboyhugo
joeboy-11 :
sasa akiwa ame change password
2024-12-04 06:08:17
0
paulshiggy82
paulshiggy82 :
na wi-fi inatumia password ya Identity utajuaje password yake
2024-12-06 09:29:33
0
travis_dady3
MONTA_SHINE :
gachuuuu
2024-12-03 20:11:32
0
gaitani.l.lekwika
gaitani l loketa. :
kwa watu androd nenda play stor ka danlood app inaitwa istabridge ifungue kisha utaona pasword za wifi zote mtaan kwako utachagua ile ya kwanza ndo ipo kalibu yako kisha pemben yake kuna sehem.
2024-12-04 13:44:44
6
epafra46
Epafra :
kwa Samsung
2024-12-03 20:13:38
4
user6351342888758
Nonno :
𝑾𝒂𝒍𝒆 𝒎𝒏𝒂𝒔𝒉𝒊𝒏𝒅𝒘𝒂 𝒌𝒖𝒇𝒂𝒏𝒚𝒂 𝒉𝒊𝒗𝒐 𝒌𝒘𝒂 𝒔𝒂𝒎𝒔𝒖𝒏𝒈 𝒌𝒖𝒋𝒆𝒏𝒊 𝒉𝒂𝒑𝒂 𝒏𝒊𝒘𝒂𝒔𝒉𝒐𝒘
2024-12-04 16:44:44
0
officiamary01
official 🌹mary❤❤ :
Mbona me inakuja scan🤣🤣🤣
2024-12-04 11:16:20
0
shaleenquenter
shaleenquenter :
mimi Niko na shida ya Niko kwa warambu bat nawaona wako kwa lmo yangu nitafanya aje
2024-12-04 22:50:34
0
ummu.said41
Ummu Said :
mimi sina raha WiFi yangu ya nyumbani kuna jirani ameni twaliya sasa naweza kufunga vipi wasipate sina raha ya kutumiya wanakaaa chini ya dirisha wanatumiya
2024-12-06 03:51:36
0
dallydominickgmail.com
Dalmatius P.G.F :
tuelekeze watumiaj wa android
2024-12-03 22:26:20
2
user66033390385432
user66033390385432sarah :
tuonyeshe pia yenye ujawai connectiwa
2024-12-04 17:22:12
0
atandi.judy
sibia atandy. :
uzuri ulinifunza sahii naibia watu password
2024-12-04 07:43:48
0
james_gardenist2024
mume wangu :
nawezaje kupata password wifi ya ikulu boss sio bure nakulipa
2024-12-06 11:56:39
1
nelvinikumilu
Darnels Nels :
Tafadhali mimi WhatsApp yangu hai connect kwa call,,shida inaweza kuwa iko wapi ni mwaka 3 sasa siezi kuongea na mtu kupitia WhatsApp
2024-12-06 06:50:44
0
baddest_shine
payet🥰 :
aaah ambayo bado haijaconnectiwa tunataka sasa ambayo ishaconnectiwa ya nini na tayar inasoma bro🤣
2024-12-05 08:39:57
0
ninowdelove13
chimamy ninow :
samahani naomba unielekeze jinsi ya kuunganisha smart watch na sm
2024-12-03 20:29:13
1
To see more videos from user @dandevantz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About