@vanessa_kashera:

vanessa kashera
vanessa kashera
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 04 December 2024 16:41:53 GMT
372996
22103
656
91

Music

Download

Comments

grace.mwaipungu
Grace Mwaipungu :
huyu dada anapitia kipindi kigumu sana sana. najua ila anajaribu kujipa furaha. haina haja ya kumtukana. kama ingekuwa ichi kitu unapitia wewe nazani ungejua anachopitia. Pole kipenzi. ila muombe Mungu kama ni wakwako atarudi tu tena kwakujutia. Mungu wetu ni mwaminifu na anajibu japo anachelewa
2025-02-14 09:35:48
708
didalicious3
didalicious👪 :
nawewe kutwa na makofia ya kulalia ndo maana umeachwa😂😂😂
2025-02-16 10:38:58
95
vaileth.daniel
vee gifts point mbeya :
can't wear her shoes for real But may God keep you strong 💪
2025-02-15 18:21:39
40
mamanaah.og
mamaNaah og :
NANI KASEMA WACHAGA WANABABAIKIAGA MAPENZI??
2025-02-16 04:50:52
11
winfridabonzo
winfridabonzo :
dada azizi anaka amuoe Hamisa unajuwa lakini
2025-02-13 18:46:06
5
marthawatson24
Martha W ᥫ᭡.ִֶָ𓂃 :
Watanzania na negativity ni kopo na mfuniko 😂. Sasa dada Wa watu ameongelea hizo habari Zenu 😒
2025-02-15 07:12:58
31
faboluos.alsina.t
Faboluos Alsina Tray :
yule jamaa anawatukanaga single maza aone mfano huu some times mtu umaweza ukazaa nausipate bahat yakuolewa so kila kitu allah ndo anapanga mm single maza naoa
2025-02-17 15:26:44
2
user1872926563797
lillie :
we share same story I feel your pains usijaye tamaa kilichobora chaja ni muda tuu
2025-03-01 00:53:19
1
neemadaud920
Neema Daud920 :
kuna watu wanastress zao hapa, halafu wanamsingizia mwenzao ana stress peke yake
2025-02-19 09:26:41
1
noellahshirima617
Noellah Shirima :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila comment 😊😊
2025-02-22 19:15:30
0
asiya.amiry
asiya amiry :
nakupenda sana dada mwenyez mungu akufanyie wepes kila gum unalopitia litakua jepes inshalaa
2025-03-03 18:21:33
0
sweetp.ngowi
Sweetp Ngowi :
daa hadi nasikia uzuni kwakweli kila nikiona video zake na feel hayo maumivu utafikiri ndo mimi nilmefanyiwa huo ukatili daa ni 💔 but hapo unaweza ukamuona yupo sawa lkn HAPANA
2025-02-22 13:42:29
0
chagga.girl5
chagga girl🌹 :
kilichoboraa kinaletwaa na Mungu upoo wakat wakoo sahihii unakujaaa be focus Vanessa kasheraa 🥰
2025-02-16 14:07:39
129
user57409148723122
cutemary :
mbn kama kazidisha kujipost kujifariji ama?😌
2025-02-16 07:36:10
55
mariammamu543
Mariam Mamu :
ushauli wa bule ukichwa achika vaa pendeza kula vizur toka out sehem nzur kutana na watu wapya punguza kujipost unaonekana mzaifu wew ni mlembo sana
2025-02-18 06:21:20
25
careencatrina
Mama C⁴ 👠 :
Duuuh pole bint ,, Kweli nimeamin kuzalishwa siyo kuolewa ..yaan nikiangalia matukio ya leo nikiangalia unavyojipostisha huku kama unajichoresha vile 🤭
2025-02-15 15:18:08
25
iqracakes7
Iqra fairy cakes and more 🥰🥰 :
Ukitaka kujua watu wengi wanfurahi mtu akipata matatizo ndo hii sasa, watu hata hawamjui uyu dada ila wanafurahia kilochotokea kwake,Mungu mkali atakupa faraja na ridhik yako kipenz chng 😍🌹be strong
2025-02-15 23:35:44
16
helmsgal
helmsgal⚓ :
nakupenda kashera🥺wewe ni mrembo bn,,,move on forget about him ,jisamehe usijihukumu you will be okay
2025-02-15 15:53:15
16
g83601
cat :
maskini pole😭kipindi kigumu hichi hv anapata usingizi huyu...kumzalia kote kule aafu milioni thelathini zinapita shwaaaa😳
2025-02-16 04:28:15
8
rehemaobdy
Rey💘 :
mwenzio ameshavishwa pete😂
2025-02-15 17:28:55
8
user4885760347174
hpmachungi :
Nakupenda dada namwomba mungu akulinde na akupiganie na mini mama wa mtoto wakiume namlea bila baba ake nakwomba usiwajibu wanaokustumu nakupenda
2025-02-11 18:13:28
7
user5106378838046
p :
jikaze dada mungu yupo one day atakupa kicheko
2025-02-16 11:30:24
6
gwyneth_gideon
Tabitha Gideon :
that one person will definetly Come darling.
2025-02-13 19:59:10
6
ummychizo23
ummychizo23 :
jamani ndoa anapanga mungu sio binadamu aziz k kumuoa mobetto sio kwamba daw hpn mungu amepangaa kwan wangap wamepita kwa hamisa jamaniiii chaguo lakeee ndy ameandikiwa azizi k
2025-02-15 08:17:48
6
g845998
MO💖MO🤪 G🤎🤎 :
vee nakuelewa ila yatapita rafik ang mungu akutie nguvu my dear🤫
2025-02-17 05:32:50
6
dethafranklin391
Franklin's Daughter 🌹🦋 :
Mwanangu wa Man United Leo tunamuua Arsenal ❤️
2024-12-04 17:53:04
5
nesi.mwakafuje
Nesi mwakafuje :
ningekuwa mm ningeamka saa nane usiku ningepiga yowe moja tu Tanzania nzima ingezizima mapenz yataniua mm😭😭😭😭😭💔💔💔
2025-02-16 06:55:30
5
omwana.wa.mugisa1
Prissy 🥀🍫🍭🍯 :
just like Mobeto, your time will definitely come ☺️☺️that's a blessing no one can take from a single mom 💝💝
2025-02-18 16:14:04
5
user34498650136264
2beez❤️✨.. :
watu mnateseka na maisha ya watu😂, kwani amewambia anateseka?.
2025-02-14 20:28:13
5
user755458152202
user755458152202 :
wee ni mrembo sana kuzaa sio kosa utapata chaguo lako sahihi
2025-02-16 04:58:04
5
prettylaurah1
. :
Mnavomuonglea mtasema kawaambia kashindwa kumlea huyo mtoto au mnahis atapitisha daftar la mchango mumchangie hela ya lishe mpuumzishen jamn ajipe aman ya moyo dada wa watu kha watanzania😂😂
2025-02-16 03:10:54
4
officialsocute2
So cute :
Mungu akutie Nguvu katika kipindi hiki 🥰🥰💐
2025-02-16 07:49:44
4
neycmickybonnie
Neycmicky :
KASHERA...🥺 MUNGU AKUINUEE AKUPE NA WEWE WA KWAKO KWA MAJIRA YAKE AMEN...NAKUPENDA 🥹♥️
2025-02-16 01:26:10
4
cardin25131206
𝓬𝓪𝓻𝓮𝓮𝓷🥰 :
life is like circle you will find the best just believe
2025-02-15 15:50:36
4
rey10990
mrs lucas :
nakuelewa vee dear kwa sasa lea tu mtoto wako akue utapata wako kilajambo lina sababu maishani wengine tuliforce ndoa kisa tu mimba lakini now tunajut
2025-02-15 19:39:31
3
tabithabaraka
Tabitha Baraka :
kipindi anachopitia uyu dada nikigumu sana jmnii ila yote kwayote kila kitu kinatokea kwasababu na kilakitu kinachotokea nikushukuru kwa Mungu tuu
2025-02-15 05:32:57
3
hamidamgunda
Hamidamgunda :
Ila mtu ukifatilia comments za waja waweza kufa kabla ya siku yako😂😂
2025-02-16 16:51:26
3
aimaar1410
Ellie perfume's 🦋🍓 :
sijui kwann ila mm nakupenda bure
2025-02-15 09:04:44
3
lhgmnc2323
M.L :
😂😂😂😂jaman ila pole shoga ang ujue kwann hujaolew lipnsii shid hauko romantic khaaa mda wote na kofia za kulalia kwema jamn 🤣🤣ila pole dada ang
2025-02-16 18:23:55
3
salma.pandu
Salma Pandu :
unaenda harusin kwa mzaz mwenzio na yule shangingi
2025-02-16 08:08:42
3
edicute28
Edicute28🥰 🦋🦋 :
Cha night 🥰🥰
2024-12-05 11:30:20
3
user4240358031712
user4240358031712 :
😂😂pita kule mnatuharibia wachezaji wetu sasa hivi mmeachwa najiimbisha imnisha ujinga hapa
2024-12-08 17:30:48
3
rissanafta
nine :
haikua ridhiki yako mpenzi usikate tamaa mungu ajalala
2025-02-16 07:23:16
3
user52806839051617
@eliethprotase :
ila we nimlembo san dada vee me nakupnda san🫶🥰🥰
2025-02-18 09:58:09
2
debbie_the_empress
Debbie_Darling🍎 :
Hint : Namna ya kumtuliza mwanaume sio kwa kumzalia bali kwa maombi
2025-02-17 13:56:56
2
user3023161158528
lynee :
nakupenda chausiku🥰
2024-12-04 17:52:53
2
kisuradidas0
official 360 :
umechunda dada 🤣
2025-02-15 19:49:42
2
mmachameuswaa
zuhura amanilema :
Be strong mwayaa hakuna usiku USIO kuchaa u
2025-02-16 12:23:24
2
gofficial756
G❤️Official :
me nakapenda haka kamdada 🥰🥰🥰
2025-02-16 17:50:07
2
ishamimi00
Isha :
kwa mbali ni kama wanafanana na bi kharous....
2025-02-16 13:12:15
2
user7853250180072
user7853250180072 :
pole kipenz mungu atakupa wa kwako mi kuna jitu lilinifanya nikakond ila namshukuru mungu niko poa now
2025-02-17 12:09:44
2
shakilah060
🌹💯♥️ :
mungu atakujibu kipenz chetu ni swala la muda tu kila kitu kitakuwa sawa wakati wa mungu ni wakati sahihi
2025-02-17 18:58:32
2
user4618306008710
tall-lady🌹 :
kuna wanawake wanacomment utumbo na ukatiri kama hawaendi period mxieeew🙌
2025-02-17 21:10:19
2
lovenessmaliwa
lovenessmaliwa :
hao wanaokutukana siku moja wataona fraha yako ma enjoy my dear
2025-02-17 11:15:34
2
bridgeth054
bridgeht1 :
Anafuraha tu hapa kwenye picha lakini omba mungu isipitie hii tena ukiwa star ndo balaa
2025-02-15 18:06:56
2
mamyester
Elizabeth mwenda :
wewe jipost tuu wenzio wanafunga ndoa huko🤣🤣 pole sana
2025-02-15 17:31:48
2
To see more videos from user @vanessa_kashera, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About