@vascodj_themagicvoice: Kufuatia demand kua kubwa kuanzia J3 Ghum he 884+ nitaendelea kuiuza online kupitia WHATSAPP,INSTA na TIKTOK.Stay tuned nipo Jikoni 🔥🔥🔥. H.B.D2ME.
VascoDj_TheMagicVoice
Region: TZ
Thursday 05 December 2024 11:54:32 GMT
Music
Download
Comments
its_@official Ritha💞 :
wew ndo vasco??kumbe ni handsome kama sauti yako🥰🥰
2024-12-05 21:25:34
193
zanshine :
hakuna dj ninae mpenda kama vasco jamani yeye ndo anafanya naangalia move za kihindi 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2024-12-08 06:35:43
186
Fey Komba :
Yan mung kakupendelea jamn kakupa sura nzur saut nzur inaendan n kipaji
2025-02-06 13:31:12
1
Pretty Hirda :
yani mi nikienda kurusha movie nikakut haijatafsiliwa na vasco bhs huwa naumia mnoo
2025-02-06 21:12:07
1
Tee Donnie :
sema mwamba unatupiga sanaa 😂 wee kihindi umesomea wapi kijana😂😂
2024-12-07 18:01:27
18
zeecute :
waooo hatimae visco dj nimekuona live🥰🥰🥰
2024-12-08 22:26:43
5
𝓲𝓽𝓼..𝓳𝓪𝓼𝓹🥀𝓹𝓮𝓻 :
oyaaah v mke wangu anasema Hawez ishi bila ww.. nitaua mmja wenu😠
2024-12-07 22:51:28
6
Queen Julios :
nakupendaAAAAA WALAI NITAKUWA CHIZI MIMI VASKO NAKUPENDA NAKUPENDA
2024-12-07 11:44:47
13
sara :
sitaki kuamin ww ndo Vasco mm ni chiz wa mv zako kwajili ya sauti Yako tu yan duuuuu😇😇ubalikiwe sana
2024-12-08 03:56:37
5
roseymlimu :
hongera ya siku ya kuzaliwa Mungu akupe maisha marefu yenye baraka tele
2024-12-11 19:36:47
5
caren :
love you vasco😘♥️♥️♥️♥️
2024-12-07 13:36:31
7
clesencia deusdedit :
yn siwez angalia mv ya kihindi ambayo haija tafsiliwa na vasco jamani sauti ina bamba kinoma sana love you brother
2024-12-07 11:15:28
7
Ernestnaom :
Ewaaaaaaaaaaah vasco dj nin kukubal sana 🥰🥰
2024-12-08 11:08:23
17
fragnant flower_15 :
mbona nilikuwa nakuassume tofaut sana 😂😂
2024-12-07 17:01:06
6
Vinnahofficial🥰 :
Kumbe ndo wew vascoo asee kuja hapa ninakikao cha dharura na wew
2024-12-07 21:09:32
9
baby feisal :
hatimae nimekujua leo napenda sana saut yako sipend ksbisa move isiyotafsiliwa na wew VASCO DJ
2024-12-08 09:14:02
8
ALHAMDULILLAH :
good happy birthday my love vosco mm nishabik wak nakukubal kinomanoma
2025-01-07 22:47:13
1
user37136002794707 :
nqpenda movie zako hazina makelele ni nzuri san
2025-01-30 05:19:14
1
sabai :
I LOVE YOU SO MUCH
2024-12-23 23:20:00
1
Jhordine Christelle :
mbona hatuko napata série zako zamupya za 2024
2024-12-27 20:15:18
2
user2459540294023 :
kumbe niwewe unasauti nzuli sana vasiko
2025-01-13 22:28:25
1
Brinstar1 :
Vasco anazingua kitu kimoja to anatoa no za whatsapp alafu Ajibu 😏😏
2025-01-03 10:23:46
1
Norrindrew :
@princess zamda:hakuna dj ninae mpenda kama vasco jamani yeye ndo anafanya naangalia move za kihindi 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2024-12-19 04:04:12
2
To see more videos from user @vascodj_themagicvoice, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.