asante kwa kutukumbusha mana tumejisahau sana Allah twaomba mwishon mwema
2024-12-07 04:33:36
45
Sosou Moh'd🌹 :
Allah atujaalie makaburi yetu yawe miongoni mwa viwanja vya peponi
2024-12-07 12:45:09
95
stanslaussylvester :
Mwenyezi Mungu atujalie mwisho mwema kwa sote
2024-12-07 05:50:52
107
malgan👾🔫 :
ya rabii mjalie mama yangu Nuru kwenye kaburi yake mfanyie kaburi yake iwe ni shamba ya kati ya shamba ya jannatul firdous
2024-12-07 13:54:31
111
khalid01.254 :
ya allah Mrehemu mwanang na umpe nuru katika kabri lake.
2024-12-07 11:09:22
32
user5275546177856 :
allah atujaalie shahada kablalmaut na azichukue roho zetu kwa upole
2024-12-07 04:38:21
68
samia ha ssan :
allah wajaliee wazazi wangu niru katika makabur yaoo
2024-12-07 21:03:11
38
كاشي 🟤🧸 :
Allahumma inni Assalukal Husnal Khatima
2024-12-08 08:04:41
6
Ty :
Allah, hawarehemu Waislam wote walio tangulia mbele za Haki, na atujalie tulio hai mwisho mwema Amiin Ya Rabb
2024-12-07 06:17:45
8
didahwangu :
ewe Mola wangu mrehemu babangu🥺
mafanyie pepo makazi yake
2024-12-08 08:34:15
20
AbdallahNiyonkuru :
maneno ya marehemu baba yangu kipenzi: " nipelekeni nyumbani mimi mda wangu umekwisha, wengine watafanya ambayo sijafanya.Ya Rabb ijaze nuru kaburi yk
2024-12-08 10:28:50
9
ismail :
asalam aleikum, naomba jina la huyu sheikh nipate mawaidha yake mengine🥹
2024-12-07 11:03:39
22
mimah nails 💅 :
nimekumbuka mbali sana😭, alha awarehemu wapenzi wetu na atujaalie mwisho mwema, hii kitu inauma uiskie kwa mwenzio😭
2024-12-07 08:57:25
34
ma chr😍 :
ya Allah tusameh wajawako wasameh marehemu wotee wakiislamu yarabalalamiin 😥nautup mwosho mwema ya rabi
2024-12-08 07:36:28
5
Official ummy :
Allah akbar Allah Atupe mwisho mwema😭😭😭😭
2024-12-07 14:49:17
5
mammitho love3 :
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭💔namkumbuka marehemu babangu 💔💔💔💔💔💔
2024-12-07 06:34:16
6
Esther :
Maneno makali haya,Allah atujaliye mwisho mwema
2024-12-09 04:37:47
13
Mama Ake Muuh :
Hakika Mungu atujaalie Mwsho Mwema Haya ndy mawaidha ya Ukumbusho yanayotakiwa lakin mashehe Wetu wa Asa iv ukiona muhadhara ujue wanatangaza kuuza dawa
2024-12-07 07:17:18
36
chizi msafi 254 :
n swali waislam wenzngu ..hivi anayefariki kwa ajali maybe kakanygwa na pkpk gari ama kitu chchte kile hata risasio hivi uyo mtu anakua na sakararul maut pia..naombeni mnifafanulie waislam..
2024-12-08 15:41:46
13
queen tag 💞 :
ya kalimu irehemu roho ya mama yangu na ndugu waisilam wote walio tangulia mbele za haki
2024-12-07 12:01:46
18
KUDU SELA :
bina hadam kaubwa kusahau uki angaria hi kripu imana ina rudi uki shuka chini uka kuta krip ya daimondi usha sahau mungu atu jaharie mwisho mwema
2024-12-07 10:09:57
28
Mama Lekii :
Allah nakuomba utupe mwisho mwema nawaliotangulia uwasamehe makosa yao nauwaingize Peponi kwa huruma zako
2024-12-08 08:06:43
6
user JALUO TO :
ya rabii mfungulie mamangu mwisho mwema ya rabii na bbngu abdalla Mohammed maahali Yuko ya rabii mueke mahali peponi ya rabii na waislam wote dunian,aamin rabii aamin
2024-12-07 19:29:16
18
Aysha :
Ya Allah mrehemu Baba yangu na Mama Yangu, Allahumma ghufirllah walhamhu wasikinnahu filjanna
2024-12-07 18:16:54
8
To see more videos from user @abdiiissak, please go to the Tikwm
homepage.