@maujuwd: Maallim @Mbosso Khan Akighani kurdy Yaa bunaiyyaa🙌🙌

Maujuwd
Maujuwd
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 06 December 2024 20:56:00 GMT
183271
13351
315
525

Music

Download

Comments

saganaonlinemediaa
Sagana Online Media :
ametaka sana kuwa mwarabu wacheni tu imtoke😂🤣
2024-12-07 12:24:16
11
user8270360981226
victory💋💋 :
mpiga gitaa ndo pablo maan nishampenda Bunaiya wang
2024-12-07 12:13:43
18
zubey4
Zubey de Alhandro :
uyu mpuuzi anajikuta sijui Nan anajionea amri diaby sijui arijit singht
2024-12-07 04:33:42
30
4k.designer0
Matata One Productio :
😂😂 daaaah mwanangu hadi hicho kicheko mie nimeona kama umeimba pia
2024-12-07 07:10:46
31
ramoolavichunare
R A M O O L A V I :
ila humu angejaribu na shirko angeuwa
2024-12-07 04:50:39
37
dangakibunda26
SAMSUNG_AREATZ🇹🇿 :
MAANA AKE YANGA NI MBOVU 😂😂
2024-12-07 10:42:00
11
khalidjoho
Khalid Joho 🇰🇪 :
Nauliza huyu Mbosso ni muislamu ama mkiristo?
2024-12-07 19:24:50
8
munaihan47
🏝️🏝️ :
tupo pamoj n nyinyi mpk mutufundishe n ss😅😅😅😅🥰🥰
2024-12-07 04:56:00
11
genius77.com
YETU AFRICA music distribution :
yaabu naiya maana yake ewe mwanangu
2024-12-07 08:22:46
1
munir2540
Munir :
kwani umekuwa Luqmaan tena kwa kupea mwanawe mawaidha😂😂😂
2024-12-07 10:26:27
3
amaniuser24140844210132
Amani m hassan shah :
kumbe uliniambia kwel ndio mambo yake arafu anajificha kurd nzur
2024-12-07 00:38:59
6
erick_f0d
Erick Khan😝 :
hii ndo maana halisi ya mbosso khan😂😂
2024-12-07 06:26:50
18
babarumaiswa
الو رميصة :
sii sauti ya bange haifanani na hiko anacho jaribu kufanya alaf kama anakusudia kumalizia aya ya QuranMajeed awe na adabu
2024-12-08 20:09:53
3
user8063944000463
Ali mansour :
mbosso anatafuta laana kama ni qurran anataka kuiimba qurran haimbi
2024-12-07 21:21:30
1
zaliaupendo.com.gm
zalia upendo :
kashahama India saa hii kaja arabic haya bunaiyya wa kibiti😂😂😂 tupe vitu
2024-12-08 11:50:57
0
idrisa.yassin
IDRISA Yassin :
advantages of Quran alhabib marhabaa😁
2024-12-07 09:40:04
6
salumzain
SALUM ZAIN :
hii ndio ilibidi ui pin kaka
2025-01-22 14:11:35
2
fruta551
MÉNDEZ🫀 :
yaah bunayya maana yak ewe mtoto wangu wa kiume yaah manake ni wito km vile wewe.kiarabu hicho
2024-12-07 22:29:18
3
user13734473636911
secret super star 🌟⭐ :
mashaallah bunaiya anaitwa nae haji yuwapi hatt
2024-12-07 21:33:02
2
swahibull_imani254
Swahibull Iman :
amekuwa luqman anamuusia mwanawe 😂😂😂
2024-12-07 12:11:56
1
mulhat486
Mulhat :
😂😂 ila mbosso jamnii mambo yako,hayaa sijui ushapata penzi la kiarabu
2024-12-08 20:03:03
2
nasma.ntila
Nasma Ntila :
nyimbo inatwaje kaka utatutua
2024-12-07 22:01:12
2
mustaffah.el.maso
EL MASOUDGE KANZU OUTFIT :
hahah 🤣🤣
2024-12-07 17:38:55
1
shukuru.kimario
SHUKURU KIMARIO :
unajua mpaka unaboa🥰🥰
2025-01-08 22:09:18
1
userhassanidawa
Hassan Dawa :
wew kama hujui tafsiri kaa kimya hiyo siyo Qur-an hapo tafsiri yake Ewe mwanangu Ewe mwanangu we umeshakaririshwa ushetani tu
2024-12-15 20:04:57
1
To see more videos from user @maujuwd, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About