@user55469559mende:

Mende hali cake 👁🦆
Mende hali cake 👁🦆
Open In TikTok:
Region: SA
Friday 06 December 2024 21:24:26 GMT
10981
587
413
392

Music

Download

Comments

aliceegah
Ex wa mchongo :
😂😂😂😂me during ovulation time ⏲️
2024-12-21 07:50:15
1
bree.bree028
bree.bree028 :
May this kind of love never locate me
2025-01-09 05:58:48
1
guillotine014
💜guillepsy💙 :
What kind of love is this 🤣🤣
2024-12-07 08:20:31
1
latinohofficial
KING OF LOVE❤ :
i was feeling huruma for her not until she sang"napiga simu namba inatumika kila dakika" 😂😂😂😂😂😂lol!
2024-12-22 15:38:32
1
quinhaslf
🦋𝓗𝓪𝓷𝓲🎀♥︎ :
what what explain to me please 🥺 what's going on 🤔 here 🤷
2024-12-19 13:28:55
0
camillee555
@🦋Thauzen 😻🦋 :
nacheka huko mwisho ambiwa "napiga simuu namba inatumiikaa kila daakika 😫😫"🤣🤣🤣🤣🤣🤣God forbid 🤣🤣🤣🙌
2024-12-08 12:39:38
6
phiona.stephen
phiona Stephen :
haka lazima ni katoto ka elfu mbili 😁😁mishangaz kama sisi hatuezi lia 🤣🤣mishangaz wenzangu aroooo au bdo mko children na nyinyi 🤣🤣
2024-12-08 12:21:09
5
richhommiekhalifah
Rich hommie khalifah🦂 :
shoga sana ww mtoto yuwataka kukojozwaa hyo 😂😂😂
2024-12-06 22:13:52
5
ubalithodelovemak
Ubalitho (glam by litho ) :
c Bure Kuna mkono wa mtu 😂😂 mapenzi nitanaribu 2030 💯
2024-12-07 16:11:43
7
binti_shuu89
Binti_Shuu89 :
Kasongo yeye bolingo na ngai 🤣
2024-12-08 05:05:36
6
nasromeo001
Mrs s 💞💞 :
😂😂😂😂😂 mapenzi yanavyonitesa mmm Sasa kumbe tuko wengi huku nje😂😂😂😂😂😂😂😂
2024-12-07 20:23:45
2
queenmanji009
👸queenmanji🍉🦋 :
😂😂😂😂heri kua single kumbe kwenye mahusiano kuna kulia😂😂😂😂
2024-12-06 22:00:23
2
mariamkinia
Tamara Adams :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila wadada mnatoa wapi nguvu ya kulia kisa mtu ajashika simu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣jamani mimi naweza lia tu mwarabu akisema rudi kenya akuna kazi
2024-12-07 21:01:52
2
lulu.abby4
Lulu abby :
hajakula huyu
2024-12-25 20:54:26
1
mama.mtu
ma mtu :
na kuimba juu
2024-12-07 12:04:49
1
chibabie.rahma
Chibabie Rahma :
😂😂😂😂niokotwe kwetuuu😅😅😅
2024-12-07 04:46:28
1
ummkhaleed
njumanji 👸 :
jamani kwani watu wapendwaje mpaka hawalali🤣🤣🤣
2024-12-07 04:42:08
1
dullaz1995
dullaz the boy :
na bado mwaka huu tuspo watoa roho tunawakwangura kizazi umbwa nyie na nisilaumiwe 🤣🤣🤣🤣🤣
2024-12-21 09:07:52
1
didahsaid26
Mrs Solution :
hii nguvu ya kulilia mwanamume munatoa wapi...kujiliza haswa...hio nguvu tumia kupenda watu wa kwenu.....ovyooo...munaniudhi mimi
2024-12-07 20:23:38
3
dream.lady5
NIRVANA 💫👩‍🎤✨💫 :
mamaeee 😂😂😂😂😂😂💔💔💔💔
2024-12-07 13:46:42
2
hollyzam4
hollyzam4 :
Wacha aumie hii kitu imtoke 😂😂 mapwenziiii mamaee
2024-12-07 12:36:16
2
user9110606001772
user9110606001772 :
aaaah mapenzi Leo nimeamini ni udevoli si Kwa kumuangaisha dada wa wenyewe hivi😂😂😂 ukipata nafasi ya kuwa single usichezeeee
2024-12-07 09:55:45
2
vidzoya
Madinah❤️ :
🤣🤣apa Kuna mkono wa m2😂
2024-12-07 12:04:10
1
lathi6472
lathi :
😂😂😂😂😂😂kudadeki waallaah
2024-12-08 16:32:34
0
winniethomas03
Winniethomas :
Wati izi goini oni hapa😂😂😂😂
2024-12-26 10:36:04
1
To see more videos from user @user55469559mende, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About