Tunajua unapigwa vita. Lakini si mageni hayo hata Mtume alipigwa vita kwa kuusimamia Uislaam. Allah atakupa kheri zako
2024-12-08 14:56:48
18
Zubeir :
Maalim Mselem Allah akupe umri mrefu 🙏🙏🙏🙏
2024-12-08 11:15:03
17
Maryam Jenneby :
Mungu atuuwe tukiwa waumini wa kweli..aameen
2024-12-08 09:10:49
7
Zhivago :
Sheikh Mselem unatuelimisha vyema. Hata kama tuna vichwa vizito, basi tunakufahamu. Allqh akulinde na mahasid wasopenda darsa zako.
2024-12-08 14:53:52
7
Zhivago :
Ulipokua jela darsa zote zilikua kimyaaa, alibakia Sheikh Shahrani tu. Allah akupe ujasiri wa kutuelumisha na kuisimamia dini yetu.
2024-12-08 14:55:21
6
DR.NAPOME🩺 :
Yaan kuna vitu hata akil ya kawaida tu unaelewa din gani ya kweli🥺 sikiza haya maneno jaman🥺 Allahu Akbar 🙌🏻
2024-12-10 22:59:10
5
mubacris :
yarrabi tupe mwisho mwema
2024-12-08 10:36:00
5
Seif Kidunda :
Mwenyez MUNGU akuzdshie umli uendelee kutupa dawa
2024-12-08 14:48:34
5
Ali WANJARA Kipanga :
Allah akbar 😢😢
2024-12-08 09:01:07
4
Anco jey..@72 :
allahhu Akbar,,,, yaarabbi tujaalie mwisho mwema
2024-12-08 10:42:54
4
kezakimana :
Allah nakushukuru kwakunipa zawadi yakuwa mu Islaam
2024-12-08 15:09:59
3
EL AbdouL :
sheikh mselem .wewe ni Professional maashallah 🥰 tunakupenda sanna wa TANZANIA. Allah akulipe kheir fii ddunia Wal a'akhirah. amin 🥰
2024-12-16 08:45:32
2
haji :
shekhe mm nakukubali san allah akulipe Kila la heri kwa kitukumbusha mamb muhimu sana
2024-12-09 18:52:38
2
user951298041069 :
wakiristo mnasikia
2024-12-08 14:45:13
1
The dreamz :
Shukurani shekh mselemu madarasa yako yana mazingatio allah akuhifadh na atuhifadh na tuwe wenye kusikia na wenye kutekeleza amri za Allah.
2024-12-14 06:49:44
1
442 :
Allah atupe mwisho mwema
2024-12-30 15:37:40
1
Mariam Dimwai :
ALLAH HU AKBAR
2024-12-08 09:21:23
1
Zamopeh...✍️ :
allah atuhifadhi 🔥 inshaallah
2024-12-13 18:44:26
1
Sharifu Ali :
Yaan kuna Watu Wabishi hata kwa Miujiza kwamba Allah ni Mmojatu hakunaga Muungu Mwengine pia Haamini hata kwa Miujiza ila ipo siku chamoto Watakiona
2024-12-13 18:18:21
1
user161490372438 :
maalim mselem Allha akupe umri mrefu
2024-12-08 18:37:50
1
Burhan Hamis :
subuhanallah
2024-12-08 18:01:37
1
BINT MAHMOUD :
Allah akbar Allah atujalie mwisho mwema sote amiina
2024-12-08 17:58:49
1
user2242680754862 :
allah
2024-12-08 16:33:26
1
Wahabi Ngaheka :
mashallah
2024-12-08 16:03:56
1
Esha Koshi :
Allahu Akbar
2024-12-08 13:56:34
1
Hatungimana Ibrahim :
Shukrani
2024-12-12 06:58:08
1
Sam Ngamilla :
ALLAHU AKBAR
2024-12-08 10:37:10
1
aishanaz :
subhanaAllah....
2024-12-08 11:08:56
1
Manguya :
kweli shekh
2024-12-08 13:22:01
1
EL AbdouL :
🥺🥺
2024-12-16 08:44:26
0
RADJABOU SAÏD :
😂😅😁
2024-12-15 18:02:09
0
user7063478021859 :
nakupenda San shekh mselem 🥰🥰🥰🥰mawaidha Yako yanaingia adi kwenye moyo mungu atujaalie tuwe wat wema wenye kuswal na kumuomba allah na kutokufanya mambo mabaya amini mungu tusaidie waj wako🥰🥰🥰
2024-12-12 20:11:36
0
Arianto35 :
allah 🙏 tupe mwisho mwema
2024-12-15 02:51:30
0
rashid amiri :
😭😭😭
2024-12-14 20:23:47
0
Hassani Mgonja :
subhana,llah
2024-12-14 04:18:12
0
*ⱮόĤα-🤴🏽* :
🥺🥺🥺
2024-12-14 01:21:50
0
Sharifu Ali :
kweli Allah ni Mmojatu hakuna Mwengine hao Makafiri hawajielewi hata kwa Miujiza ipo siku chamoto Watakiona
2024-12-13 18:09:46
0
Bazenga :
🥰
2024-12-13 15:44:46
0
NASSRI 🔥 :
ALLH naomba mwisho mwema 🥹🥹🥹🥹🙏🙏🙏🙏
2024-12-13 05:56:35
0
Najuu.22 :
mungu atupe mwisho mwema
2024-12-31 11:34:14
0
J E S H I :
❤
2025-02-27 06:38:39
0
SHAFI :
hakika hawa wanae kataa kua hakuna basi wamepotea
2025-01-16 13:16:39
0
zakiya :
Subhanallah 😭
2025-01-15 06:01:36
0
BUSHBOY :
❤️❤️❤️🥰
2025-01-11 03:25:05
0
nuruhassan601 :
allwah atujalie mwisho mwema
2025-01-08 08:36:03
0
To see more videos from user @hemedjumaa, please go to the Tikwm
homepage.