wanawake hapa wakona mafeelings 😂😂huyu dem ako blessed 🥰
2025-01-28 14:56:37
203
DALALI MWALIMU FURNITURES :
wanawake mnajidhalilisha sana aisee, halafu baadae mnalalamika et wanaume hatuwathamini, sasa kwa hali hii nani akupe thamani zaidi ya kukutumia tu na kupita hivi,,,,, kaeni chini mjitafakari
2025-01-28 17:59:32
126
BOAZ OFFICIAL :
huyu msichana mm simpendi juu hata nikimwambia nampenda atanikataa bado,so akwende huko 🤣🤣🤣🤣🤣