@buki_tz: jimbo flani hivi baya la maharusi 😎 #IKITOKEA #tiktokkenya🇰🇪 #tiktoktanzania🇹🇿

Buki tz
Buki tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 08 December 2024 10:09:06 GMT
335029
20476
298
800

Music

Download

Comments

fazalkarim050
fazalkarim050 :
wapi waliandika huwezi kua mwanamziki mpaka mvae hereni... nyimbo kazaa tu mihereni kama wanawake
2024-12-08 10:57:54
25
jazlen_wa_bukitz
JazlenTz :
Wa pekeangu🥰❤️
2024-12-08 15:31:55
13
honey34_5
Bubble 💬Bum💭🥰 :
mmmmh wathezea moto wewe 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kila mtu na Amali yake🤔
2024-12-08 19:56:12
14
salmito6065
salmito :
ah wapi? mda huo kila mtu rabby nafsi
2024-12-09 05:01:16
3
amiry015
Amiry Khan :
kaka unajua sana staili yako ya uwimbaji tu,nyimbo zako huku mtaani tukiwaimbia watoto wazuri wanachekacheka big up sana pambana tuko nyuma yako
2024-12-31 15:51:28
3
rahmahashim616
luxious ray🥰 :
🔥🔥 nasubir ulike comment angu
2024-12-09 06:28:02
4
hawahassani212
Hawahassani :
umenenepa kaka
2024-12-08 18:22:24
0
zeenu
🇿 🇪 🇾 🇳 🇺🇧🇭🇰🇪 :
Nyimbo tamu ndio ila apo Kwa moto ndo pananikeraga tu
2024-12-11 18:23:12
1
falzuh1
🫧🛍️ zuuh.styles 🦋🌸🫧 :
kama unamkubal buki like apa🥰
2025-01-08 05:37:12
3
pisi.kidoti
Bi wardah🥰👌🧕 :
hongela kaka towa nyimbo nyigine
2025-03-04 20:53:48
1
dullvanni
xorry for disturbing™️ :
fundi umenyamaza sana achia la kufunga mwaka
2024-12-10 16:47:27
1
sahyran
sahyran :
mashallah nakukbal sana ue kaka
2024-12-09 18:03:23
1
kemy__6
Kemy_ _ :
Unanenepa hongera kwa wifi yetu🥰
2025-01-07 08:52:05
1
hamiskis1
hamiskisuti :
sema nn broo unaupiga mwingi ka mbosso vile nakubali brother👍👍
2024-12-10 18:38:51
1
iptysam_akram
iptysam aziz :
We unafanya mchezo na moto 😂😂😂eti ntakufata motoni😅😅😅😅
2024-12-10 12:46:18
1
nurahmummy
Nurah-Mumy❤🌹 :
🥰🥰🥰masingle wajinyonge wote😅😅😅
2024-12-09 12:07:59
1
kijana_mwepesi00
Kijana mwepesi :
WAKENYA WENZANGU HIVI TUNAEZA KOSA KUSIKIZA NYIMBO KAMA HIZI ZA WATANZANIA TUKAMSIKIZE WILLY PAUL MUKO SERIOUS KWELI???😂😂😂😂
2024-12-10 07:02:38
1
africanamsy
♡namsy❥kUcHi♡ :
😂nilikuwa naskiliaza zangu tu vzr then boom nimfuate mtu motoni😅👋🚶
2024-12-09 18:33:22
1
user81233483762667
its munher :
I love Buki 🥰🥰
2024-12-30 13:47:57
1
ummuhnassor
S+A 🔐🫶 :
My favorite song😍😍
2024-12-08 15:41:03
1
akoth158
Akoth Nyara Asipo❤️💝💯 :
ñyimbo zako ni tamu sana ongera kaka🥰
2024-12-08 12:32:04
1
yasminmajdi775
Yasmin Majd :
jamani buk nakupenda Sana unajua sanaa 👌
2024-12-08 13:53:08
1
user9198495914429
l love you Mother ♥️ :
fundi Wa mziki Tanzania Abby love 💥👊
2024-12-08 10:16:02
1
bukitzfans
Shabiki wa buki :
Msanii wangu pendwa
2024-12-09 22:02:59
0
To see more videos from user @buki_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About