may Allah grant her his forgiveness an his jannatul firdaus ameen 🤲ameen 🤲ameen 🤲bi kidude
2024-12-10 00:53:00
30
SWITNUSH♨️ :
V... money 👆👆
2024-12-10 01:55:08
5
Haley :
Legend 💯 of Zanzibar
2024-12-09 19:57:00
12
Kadiri Khan Casemiro :
great of All Time
2024-12-10 09:37:49
2
Zincy64 :
Vanessa 😳😳😳
2024-12-10 10:55:15
2
Shebby Makabila :
duuu am stiill to love you bibi , sauti ya dhahabu
2024-12-11 04:35:10
0
Adam Muhammad :
good business you mama
2024-12-11 18:42:18
0
Novos Horizontes :
legendary musician! kijiti is one of my favourite of her work.
2024-12-10 18:30:56
0
bkarema :
she's strong❤️
2024-12-10 12:11:11
0
fabihansi :
nice
2024-12-10 11:21:08
0
chiomaa_🦋 :
Wangap wamegundua kama huyo ni Vanessa Mdee 🤗😜
2024-12-09 20:16:26
57
user511851726133 :
labda Kwa wasiemjua vizuri huyu bibi,Hadi Umauti wake hakubahatika kuwa na mtoto zaidi dua kumuombea.ila kaburi Lina fitina kubwa,mambo3 Kila mmoja wetu ataulizwa1.Mungu wako?2.Dini Yako?3.Mtume wako?
2024-12-09 19:14:25
16
Abuu Yoga Class :
kusikitisha umri wake aliutumia kwenye mziki dah mungu amrehem🤲
2024-12-10 10:36:43
10
East Africa 🇹🇿🇰🇪🇺🇬 :
miaka 113 lakin alikuwa bado anafanya shughuli zake mwenyew mpaka mungu amemchukuwa, mungu amfanyie wepesi uko aliko in sha allah
2024-12-09 17:51:36
21
0673421339 :
bdo yupo hai ama
2024-12-09 19:24:51
7
zaynab :
huyu babies si msahau mimi😅😅😅 alinichamba niko na miaka kama 7 Ivi tumetoka kuchora heenan ya skukuu nikampata njiani nikamwambia mwenzangu unamuona bi kidude kumbe mwenye kasika,nilikoma😅😅
2024-12-09 20:39:34
7
sheby melody khan :
jmn mbn bibi wawat km Ana mimba
2024-12-10 08:33:56
5
haysamoscarog :
Mie siimbi karatasi kama bend ya polisi aanha!!😂😂🤭
2024-12-09 20:14:26
11
sureboynasir :
legend of Tanzania ....hakuna mtanzania aliefanya show ulaya akapata mashabiki wengi hadi leo zaid ya bikidude na alikua anaenda ulaya bila ya viatu
2024-12-09 20:55:38
10
bushra :
miaka.113 mashallah mungu.akufanyie weps kwenye kabuki.lako
2024-12-09 17:30:16
9
@quy🌸 :
hivy vinanda nkajua hizo tamthiria za azam tv kina ertugul na sultan bey😂😂😂
2024-12-10 10:48:44
6
tmk :
mashallah☺️
2024-12-09 14:10:05
7
Ruwaisha :
Nan kagundua anaemhoji ni Vannesa
2024-12-10 07:03:48
5
user7590819225138 :
Allah amfanyie wepes🙏
2024-12-10 03:20:30
5
Gazzanho :
Umesahau Sio Kuzaa Alikua Ni Bikira Kabisa 👌
2024-12-09 19:36:37
2
To see more videos from user @officialsaidmbegu, please go to the Tikwm
homepage.