@mpemba__og: OSTADH JAFAL KAYAKANYAGA LEO 😂😂 #fyp #trending #fyppppppppppppppppppppppp

Mpemba _Og
Mpemba _Og
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 09 December 2024 18:01:59 GMT
3769085
135490
1824
10305

Music

Download

Comments

user6818856181308
Stevoo📌 :
Tuna mkubali mpemba tugonge like hapa
2024-12-09 18:11:21
790
abdulrahamanyusufmwamba
user9732032540919 :
Nasoro kamshenyeta mjomba ake kimwaga
2024-12-10 17:56:22
20
barakahbakary
k~bizzøTz :
umenifanya niangue kicheko saa 7 ucku broo😂😂
2024-12-10 19:50:21
13
user8082515721810
Nguvu ya Mungu mkuu ikuinuye. :
chakula tu unanyima watu kinacho enda chooni kesho.
2024-12-10 15:27:40
3
martha.alfayo
Martha Alfayo :
kumbe nilikuwa namtafuta chanzo chakupigwa sasa nimepatajibu 😭😭😭
2024-12-09 18:36:16
13
nyabigeso1
Neema Nyabigeso 1 ♐ :
😂😂😂Mpumzishen
2024-12-10 13:44:21
3
eunicegodwin02
De nice 02 :
😂😂😂 kimemuingia ich
2024-12-10 13:25:22
3
mwanashahamisimwe
hamida :
taka taka kupitiliza wamefata ubwabwa hawajui kusoma hata alhadulillah 😂😂😂
2024-12-10 14:26:47
5
nancyluxeee0624
Nancy Luxe 💎🥂💫 :
Yan Mungu Akisema Awachukue Wote Waliofany Challenge Hii Wallah Dunian Tutabaki 5 Tu😂😂 Maana Iyo Ni Zambi Jomon😅
2024-12-09 21:47:28
9
pinkquin024
pink quin 💓💓💓 :
mnapata dhambi wallah
2024-12-11 10:40:17
8
ahmeidyoung
Ahmeid Young :
NNLIKUA NAISUBIRI HII NA MPEMBA COMEDY😅😅😂😂😂
2024-12-10 17:40:06
2
user1295311479884
userAbuuHady :
@mpemba umetisha 🤣🤣
2024-12-10 12:17:05
2
adam.akida0
adam akida :
oya kuna kauli nimeisikia hapo we ni mwanike wa ukaya au make nimeskia koliyamenye🤣🤣🤣🤣🤣
2024-12-09 18:57:26
3
ibrahimamossy
ibrahimamossy :
nimecheka sana😁😁😁😁😁😆😆😆😆😆
2024-12-12 05:21:36
2
kassimbwezereni
MTABIRI KASSIM :
ila huyu mtoto analaana sana huyu😂😂😂😂
2024-12-10 20:44:14
2
omaryneema3
Omary Neema :
🤣🤣🤣🤣🤣,,mungu nisamehe mana wenyewe ndo wanasababisha me nicheke🤣🤣🤣
2024-12-10 11:15:35
2
neverstop758
NEVER STOP :
kwelikweli mpemba ume wini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣☺️☺️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 chukua like yangu
2025-01-06 09:20:52
2
husna.tendwa
Husna Tendwa :
daaah pw
2024-12-10 07:54:16
1
132king
KING LUHUMBILA 👑 :
kapigwa mtu huku kisa pilau😂😂
2024-12-10 08:31:53
1
elizabethchama513
Mrs. Mine :
Nawewe umempa donge huy Mzee
2024-12-10 22:06:56
1
clifordkimboi5
clifordkimboi :
ndiomana 🤣🤣🤣
2024-12-10 12:55:48
1
jacobinho13
Jacobinho :
Koria menye wamasai njoon huku 😀😀😀😀😀😀
2024-12-10 09:08:06
1
dayusrah
momy :
gelala hia😂
2024-12-10 15:24:43
1
user85702008807953
billdavid :
watu wapo kazini 🤣🤣🤣🤣
2024-12-10 15:40:57
1
baba_wa_nguvu_healthcare
BABA WA NGUVU :
jaman mafriend wote tunaelewa kuwa hiii niya kidini lkn cc hatumdhihak kwene kucheka tu ucheke kwene furaha furahini kufa kwaja hayaaaaa
2024-12-12 19:16:54
1
To see more videos from user @mpemba__og, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About