@islaahtv_dr.sulleog: NDOTO YA KURUDI SHULE #LIVEhighlights #TikTokLIVE #LIVE

ISLAAH TV (DR.SULLE OG)
ISLAAH TV (DR.SULLE OG)
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 09 December 2024 20:59:41 GMT
146005
3960
121
238

Music

Download

Comments

hoormamy
shamila1987 :
nimeota sana, tena sana, ila nasali kinoma mungu ndio kila kitu hakimfikii chochote mwanadam isipokua kwa idhin ya mwenyezimungu
2025-01-21 21:18:19
19
m_bb895
𝑀𝑠•ᥫ᭡ :
Naota niko shule na nshamaliza 💔
2026-02-26 07:11:00
1
user3359053767405
zahra hussein :
tunaomb msaada tufanyaj hapo kwenye shul kila mara
2025-01-18 16:15:27
0
jacksonazizi
PUBLIC FACTS 💯 :
amna linalo mshinda mungu mm kila ndoto namkabizi mungu
2026-08-26 09:42:08
1
aishuu426
😜 :
usiku wakuamkia Leo nimefumbua macho nikaona kunakitu kimenisimamia under Wakulia kipokamakivuli Ivisinauwakika sana nilipojarbu kuzungumza Sauti haitoki walaviungo vyanguhavifanyikazi nikawa naomba
2025-01-29 11:27:49
0
user8838081838108
@Hussein-feruzi :
msaada plz
2024-12-10 13:03:28
3
user4812124761605
user4812124761605 halima :
Doctor naota yanii mpaka bac jamani mimi naota kila mala nipo shule
2025-01-16 20:02:18
1
user3654285163534
user3654285163534 :
solution ya jambo ilo ni nini shee naomba msaada nishaota Sana ndoto izo
2024-12-10 11:43:13
1
sabraabdul2024
sabraabdul2024 :
naota sana nipo shule nafanya mtihan siwezi kuujibu yan kama sijui chochte
2025-01-18 22:53:55
1
mwasitisudy
Mwasitysudy :
Asalam aleykum doctor nikweli kabisa Allah akueke siongei mengi namtegemea allah
2025-01-18 21:05:01
1
user6681858336039
hindu :
msaada plz nisaidie nimeota juzi tuuuu
2024-12-12 03:52:20
1
user22516998392862
2000 :
shehe tufundishe duwa ukiota ndoto namna iyoo
2025-07-31 13:12:05
1
swamy6606
swamy :
ufumbuz wak nin sasa
2024-12-10 20:37:08
1
user47658813586010
user47658813586017 :
docta sule mm zote hizo nimeota na pia nimeota navishwa pete na mkufu wa zahabu ila mkufu nikawah kuuvua ila pete cijawah kuivua nimestuka jina
2024-12-11 19:48:31
1
habibasaidi406
Habiba Saidi :
ukiota unafanya mtihani alafu unaona dalili za kuufanya vizuri inamaanisha nini
2024-12-12 07:45:27
1
dabasu3
Dabasu :
mm naota saan saan ndoto ya kuwa nipo shule nafanya mitihan lkn nafaulu saan ,,, sas sijajua inamaanisha nn
2025-02-13 12:20:21
1
user8263733193543
user8263733193543 :
mm ninayo hota nipo shule alafu narudia tena form form
2024-12-10 08:58:15
0
user19538562907077
Halima James :
uwongo tu
2024-12-10 09:26:05
1
charlesskanjan
user78087183715 :
naota sana ndoto za shule msaada ostazi
2026-08-28 08:57:30
0
merrympela4
mpera merry :
ukiota ndoto umelala inje manayake ni nini
2025-10-20 16:54:34
0
dahmor4
dahmor3 :
doctor me nimeota natambaliwa na minyonyoo na mingine Iko ndani ya ngozi yangu inatembea nikawa natoboa ngozi niitowe asa hii Ina maan gn?
2026-01-07 10:29:50
1
modizokhamisi
mercenaries :
jinsi ya kujinasua shekke tafadhali
2026-07-26 20:51:32
0
kassim4201
Kassim :
not meota mke wangu ananikaba
2025-11-17 17:44:18
0
francethomas521
babe cute 😍 :
Acha uwongo
2026-04-15 13:59:06
0
sumaiya4599
sumaiya :
sasa doctor sule mm nmeota matokeo y form five yametoka ila bado point moja il niendelee n masomo kiongoz akaniambia usijal madhal n point moja tu tutaendelea n masomo n utaonekan tu una matokeo mazur
2024-12-10 09:09:59
0
To see more videos from user @islaahtv_dr.sulleog, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About