Mwanamke Akirud Kwa Mara Ya Pili Kwako Haujamrudisha Upendo Bali Ameshindwa Kukureplace Kafuata Mazoea Sio Mapenzi ,Don’t Try
2024-12-18 23:39:00
12
LETA_PEANUT :
mbona kama story inaendelea
2024-12-12 20:07:37
7
Lily❤️ :
Mkute kwake atakuelewa tu 😂😂
2024-12-21 02:32:39
1
beka 👑 :
Nooooo💔
2025-01-07 10:27:10
1
Jayone :
mapenzi noma achana nae mwenyewe sahv mtu akisema ananipenda naona kama ananipigia kelele🤣🤣
2024-12-14 18:00:51
7
zainabumushi :
Wew jipeleke si aliuvunja moyo safarii hi anaondoka nao 😀😀😀
2024-12-11 17:51:26
3
ianoh ke🇰🇪 :
rule no 5
2024-12-14 19:17:51
5
๖͡²͡⁴͡ʱ͡k͡i͡n͡g͡℠͡s͡e͡l͡l͡a͡℠͡ :
nimekukubali sana best
2025-01-06 20:52:05
2
ayoob :
mloge😂
2024-12-14 22:30:44
1
✨️❤️zahra jamal💕 :
𝐞𝐱 𝐰𝐚𝐧𝐠𝐮 𝐮𝐬𝐢𝐩𝐢𝐭𝐞 𝐡𝐮𝐤𝐮 𝐭𝐚𝐟𝐚𝐝𝐡𝐚𝐥𝐢😂😂😂
2024-12-13 17:11:34
1
Regina mboya :
mm mwenyewe nipo kwenye situation hiyo alinikataa na mtt akakan kabs af sahiv anaomb msamah kwamba ilikuw hasira na hatukugombn sijui hasir ni za nn zilikuw
2024-12-11 16:57:43
1
Hussein Abubakal :
Yani mapenzi ya siku izi nanicangany wanawake wachaga aribika San na pesa San
2025-01-04 13:53:50
1
Trevor🇰🇪 :
Sitamanii kuyakumbuka kile nilichokipitkia kwa Jina LA upenzii😭 but na shukuru maulana kwa kunikomboa😢it's will never be Me kujipata kwa huo mtego tena ama kwa Kweli mapenzi I kwangu abadan kataan
2024-12-14 12:48:57
1
Plumber💦 :
Makofi kwa Mwamba Tqfadhali👊
2025-01-03 19:38:28
1
PTM :
Shikilia hapo hapo bro. Mwanamke alikuacha kwa tamaa zake. Ametumika weeeeee na kutupwa na wahuni ndio anakumbuka kurudi kwako. BURE KABISA!!!
2024-12-12 10:57:12
7
Kenzo :
Unamkubal na kumuaminisha tu ila mwisho wa siku unaenda kuoa mke mwengine
2024-12-17 19:37:14
0
juliaofficiel5 :
Tafuta pesa bana achana na mapenzi 🙌🏾😫
2024-12-30 02:05:46
1
coco :
trust the process tu😂
2024-12-15 02:35:34
1
Fizzo183 :
huyo kumuwez mrudishe alafu muoneshe hauna ata pesa yachakula mpime Imani kinoma usmuache kizembe coz yeye ndie kagundua kosa lake😜45 code
2024-12-26 03:21:45
2
Baraka Ludohela :
umenikumbusha mabili sana mwamba😭😭😭 ulivo umizwa na Mimi niliumizwa Sana tena niliachiwa watoto wawili kisa sikua na kitu Kwa kipindi hicho ila ni Sawa kuondoka kwake make nilikuwa fukala Sana ila nilimpenda Sana pesa Zika mtia upofu na kuniacha na wanagu 😭😭 ila life likabadilika na wana niliwalea na kuwasomesha na kisha badae ali taka kurudi nilimpenda sana nampenda sikatai shida ndio zili changia yeye kwenda ila kwa uwezo wa mungu nimekaza mwenyewe hii yote kulea wanangu nampenda sana Ila aniache nimesha jifinza 😭😭😭😭💘
2024-12-19 15:05:12
4
Mr Singh 👑 :
Ukirud nyuma ni ishara ya udhaif
2024-12-13 19:39:18
2
A.R.D.H.I B.O.Y🥇 :
ukirudiana na mtu ulieachan nae ujue umefata kumbukumbu sio penzi
2024-12-18 20:32:07
1
Usijisahau :
same story 👌🥺😅
2025-01-02 18:46:32
1
To see more videos from user @really_life_story_255, please go to the Tikwm
homepage.