@m.s.a.k.i_: Tuambieni ukweli bhana 😂😂 #daressalaam🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #tanzania #fyp #travel #cityview #weekendleague #adventure #december #traveltiktok

m.s.a.k.i
m.s.a.k.i
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 December 2024 16:15:04 GMT
36043
1218
106
223

Music

Download

Comments

m.s.a.k.i_
m.s.a.k.i :
Boss wangu
2024-12-10 18:58:40
1
yuzzomnene_
Yuzzo__ :
😂😂😂😂😂😂😂imagine
2024-12-11 11:20:08
0
user7333553738150
soudy @99 :
mh
2024-12-11 15:26:02
0
eunii956
eunii95 :
Tena watoto wanne mke na michepuko wawiwili bila kusahau wazazi na ukweni😂😂😂
2024-12-11 15:13:27
28
doryn_pol
Ms Paul🦋✨ :
😂weee unakula bata kila siku unategemea nini😂
2024-12-11 12:35:20
1
marianne2551
marianne2551 :
Shingo za kuku zimeisha msaki😂
2024-12-10 17:46:37
1
gee_pumpkin
gee_pumpkin :
Wakikujibu niite😆😆au wako na pesa ingine
2024-12-11 13:54:22
3
sadalaprince
sadalaprince :
Wapi hapa mzee
2024-12-11 15:13:45
0
joycelema91
Joy lema :
Ctuliambiwa kila mtoto anakuja na sahani yake 😂
2024-12-11 14:45:05
1
_s.i.a.h__
Binti Sawe❤️ :
Watupe mbinu😂😂 huenda kuna allowance ya sirisiri ukujifungua maana weuh😭
2024-12-11 12:58:16
2
mfalmegideon
Tranquility 🕊️ :
Huu ni wa kulia shingo tu 😂
2024-12-10 19:45:10
1
iam.jacquelyn
jacquelyn🦋 :
Wangu umeisha 2weeks kabla haijafika 😭
2024-12-11 18:14:01
0
janebrayson
Jane Brayson :
😂😂😂😂 ukijifungua utaongezewa wa kulelea watoto 😂
2024-12-11 15:43:58
0
mendydecor
mendy_decor :
😂 watoto na wake wawili
2024-12-11 15:07:52
0
aslihan_mmanga1
aslihan_mmanga1 :
Waulize huo unalipa ada,kula,kodi,pombe,na kuhonga😂😂
2024-12-11 18:24:59
4
rehmahrajab
rehmah rajab :
Nilimuuliza hadi mama amewezaje kutulea mbona mshahara unaisha mapema hivi alicheka sana😂😂😂
2024-12-11 18:11:10
3
chef_kareem1
chef_kareem1 :
use my money app utajua pesa zako zinaenda wap.
2024-12-12 12:04:42
1
haika3757
haika. :
Hapana ni huu huu unaoisha kabla hatujaupokea
2024-12-12 11:20:46
1
navickie8
Navickie8 :
hv ni mimi ambae napokea tar25 ila haumalz hata mwezi mpk nahisi kuna mtu tunatumia wote
2024-12-12 06:21:31
1
nicksoncontroller
nickson :
kabisa yaan
2025-03-06 13:45:52
0
vaileth_2
Vaileth Lema :
😂😂😂😂😂😂uwi
2025-03-05 09:16:53
0
mslyn00
Eline G :
Duh😆😆😆🙌🙌
2025-01-25 12:32:14
0
babajohn15
Hunter boy :
Pesa ni matumizi yako tu unaweza ukawa unalipwa mshahala mkubwa na usifanye malengo😆
2025-01-19 18:43:11
0
favoured_babes
Favoured_babes :
Ana kuna mwingine😂😂
2024-12-25 16:05:55
0
luhambabrayanr
Luhamba :
😂kuna vitu wanatuficha haki
2024-12-13 12:28:41
0
To see more videos from user @m.s.a.k.i_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About