@noel_traveler: Pamambono kwenye safari ya kuupanda mlima mrefu zaidi afrika wagumu ni wabeba mizigo na vyakula vywa wageni awajamaa wanapambana sanaa hii kazi yao ni ngumu sana tuwape eshima yao🙌🏾🙌🏾🙌🏾

Noel traveler🗻
Noel traveler🗻
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 December 2024 21:04:38 GMT
652246
23112
488
1887

Music

Download

Comments

mommeghan27
Am blessed :
aisee...Mungu wabariki wanaume wote wanaopambana.....alaf ndo kuna wanawake wanataka usawa😏 jmn tuwaheshimu hawa viumbe wanapambana sanaaa 🙌🙌🙌🙌
2024-12-12 08:12:58
172
angelkessy4
angelkessy193 :
nimemuona baba angu jaman nampenda san ni vile bad sijafanikiwa ila ipo siku mung atanisaudia nibadili maish ya nyumbn
2024-12-12 10:37:15
131
phine80732
Gee🍇♓️ :
namkumbuka sana kaka angu alikua anarudi kachubuka mabega mda mwingine baridi imemchubua ngozi DEAR GOD BLESSED MY BROTHER ALWAYS na wanaume wote wanao pambana kwa nguvu kwajili ya familiar zao
2024-12-12 09:11:16
46
ummy.mwalimu
Ummy Mwalimu :
samahani kwani wote wanaopeleka wageni huko huwa Wanabeba mizigo mizito hivyo
2024-12-12 09:18:17
31
laila.hiv.life
Laila Kari Moen :
I am grateful may God bless all hard working men and bless them
2025-01-15 13:45:32
1
latestsafaris
Allan Rich :
miaka mi 3 nimebeba mburuta, nashukuru mungu hapa nilipo
2024-12-12 14:59:24
12
jumah27
IT'S ME_ :
Nadhani kuna baadhi ya maeeneo Yanahitaji kufanyiwa kitu kama kuchimbia nguzo ama ngazi uvi au uzio kwa pembeni huenda ikavutia au ndiy ita haribu uasilia!!!
2024-12-12 12:33:41
11
user41916985295092
Diana princess :
mbona uko kwenye starehe mama uko kwenye utalii☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️
2024-12-22 12:52:11
2
gifty.kimei
Gifty Kimei🇹🇿 :
hela yao wanaitesekea lakin hawana nidhamu na pesa yao (baadhi yao siyo wote)
2024-12-12 11:53:27
4
deomtalamu
deomtalamu :
Sasa apo ukutane na Campuni ya ZARA watu wanabeba mpk Kg 45+begi kg 15 bado ujafunga komeo yani sio powa🙌🏻🙌🏻😔💔
2025-01-11 15:00:17
1
suzananiima
bensuda :
hiyo nyimbo sasa 🥺🥺🥺🥺🥰🥰🥰🥰
2025-01-11 10:28:22
1
dorahmushi
Makimaro 07 :
hapo pia kuna mabinti, Mungu azidi kuwabariki wapambanaji wote....
2024-12-12 20:34:52
2
user358022781
user1967642508953 :
Alafu ukitoka hapo unaenda kuhonga kbs. wanume embu jihurumieni wenyewe🤣🤣🤣🤣
2024-12-13 21:11:48
1
sekycollection
SEKY COLLECTION :
dah nimeumia kuna ndugu yang ndio kazi yake hii kumbe mizigo ndio mizito hiv😳
2025-01-14 19:36:20
1
vivanaminja
vivana :
Halafu ukitoka huko hela zinaishia pale policeman's ama kwa hosea,Clara,ama himo duuu jihurumieni
2024-12-15 19:11:44
1
adelaida.peter
Adelaida Peter :
Sa huko kwenye mawe siwaache hayo mamizigo chini😥
2024-12-12 10:15:51
4
clin020
Clin Jayden💞💞 :
mungu awalinde,camera man amekaa wapi? swal tu
2025-03-02 13:01:36
0
denisjacobo546
DENS J LYmo :
mileniamu apo au nimekose wandugu
2024-12-13 19:47:25
0
mr.alex4265
Mr.Alex :
wameajiriwa na serikali au
2025-03-01 09:38:59
0
taraasing
Taraa sing :
Mimi ni mmoja kati ya walio pita njia hizo miaka kadha ilio pita hakika ukiwa mgumu ni hatari zaidi ya jiwe la kubusu mungu peke ndio anajua hasoling
2025-03-02 21:37:08
0
xxl.founder
xxl founder :
Hawa ndio wanaume sasa ukitaka kupima nenda kajaribu
2025-03-08 12:58:58
0
ally_mohamed1
Ally Mohamed :
Respect 👏
2025-03-10 14:49:07
0
kingnestory
king.smile🤴 :
hawa mapota ukiwakuta bar unaweza sema apo kilimanjaro ni tambarare tu masela siyo wachoyo kabisa utasikia waiter zungusha tatu tatu ""mlima upo tuu hauwami""
2025-03-08 17:37:56
0
angel.asenga
angel asenga :
mungu awabarik wanaume
2025-03-03 14:33:51
0
user41681377003581
user41681377003581 :
mapambano ni matokeo ya maisha mazur
2024-12-18 00:24:25
0
To see more videos from user @noel_traveler, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About