@manyanya__: #tiktoktz🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪

Manyanya
Manyanya
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 11 December 2024 11:47:16 GMT
2365511
126326
4703
13322

Music

Download

Comments

jollie105
JOJOH💓🦋 :
Exactly manyanya … tulio ona manyanya kaongea point apo kusimama upande wa mkewe 🤍😊😊🙌🏽
2024-12-11 14:47:35
1127
annakambona2
user10657804687366 :
haya michepuko mmesikia mbwa nyie wake tunaheshimiwa bwana😂😂
2024-12-11 19:19:04
571
abamarrii
@AbaMarii :
mke ni wa kwanza pekee wengine ni mtumba so always respect first lady
2024-12-12 02:00:07
316
officialbinty
officialbinty :
wapenda waume za watu thamani yenu bila shaka mmeiona😂😂😂
2024-12-11 12:05:38
285
mariaoremo3
Maria Oremo :
Cheating on your wife is already disrespectful 🙄
2024-12-13 16:29:56
207
makiro195
Makei :
Sasa manyanya ndo uongee Kama mtumishi wa bwana 🤣🤣
2024-12-11 22:39:03
191
veenikemunto1
user6181838455139 :
now i know hata kama mnachepka pado mnatupenda hallooo wale tuko kw ndoa
2024-12-12 09:47:29
187
nifer2633
Nifer :
mwenye akili ataelewa😘👌
2024-12-11 11:59:53
144
hidath002
hidath :
hawa wanaume wako kweny TV tu
2024-12-11 18:14:53
116
klaten49
Kayte M :
si utoke ukakae na Bibi yako 😏😏😏anafanya nini apo
2024-12-12 06:28:23
109
otienocollo4
Otieno :
huku Kenya kabla ujamaliza kuongea hayo yote utakua umemwangiwa maji ya moto😂😂
2024-12-12 07:37:16
88
marymasawe1
Mamie :
kama mm matilda mda huu manynya angekua anaongelea nje
2024-12-11 12:15:25
87
mamufashionist
mamufashionist :
kwa kiburi changu apo angemaliza kuongea ningekwambia nyanyuka pangusa mataji nenda kwa mkeo , shame🤣
2024-12-11 11:56:02
84
user1572382285160
rosemary titus :
Huo ni umalaya tu,kwa nini mke wako unamweshimu mbona unachukua mchepuko
2024-12-11 19:40:34
83
chelychely65
user milkanjeri :
mbona wanaume hutoka nje ya ndoa na bado wanapenda wake zao
2024-12-11 12:26:32
79
lennie0531
lennie💜 :
so this is the way they protect their wives 😂
2024-12-11 17:04:14
81
deviskavisdedevis
Jp devis :
Ungelikuwa unamuheshimu hunge enda inje kutafuta malaya musenzi wewe jiheshimu kwanza
2024-12-12 07:09:12
71
joseh1993a
josethepinstar :
Sasa huku kwetu capital city ya Africa aswa ukambani manyanya ni tomatoes
2024-12-11 15:55:50
65
madeeseleman
adijamtumbuka :
ungekuwa unamuheshim usinge chepuka
2024-12-25 15:26:39
63
zuhura.khamis2
Zuhura Khamis :
michepuko samalekuuuuuuu
2024-12-11 14:18:36
57
realking6810
pie pie12 :
humpendi mpuuzi wew ungempenda usingekua mbinafsi unakula raha pekeako na kumletea UTI🥹😏kwendraaaaaaa uko
2024-12-11 14:59:30
55
lightnessc
reflexology :
mnaotembea na waume za watu mkae kwa kutulia...mke n mke tuu mnachezewa tu na kupotezewa muda😂tafuten wakwenu usipoteze muda kwa mme wa mtu,msidanganyike
2024-12-11 17:16:46
53
nellyayohana
Nellya Yohana :
wanaume wenye akiri hiyo niwachache
2024-12-11 12:08:57
52
user4622161629547
ester :
kama una ndoa umefata nn kwake Yani mm ningekutimua fasta
2024-12-11 14:30:59
51
To see more videos from user @manyanya__, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About