MashaAllah tabaraq rhman Mungu awajalie Qheir kwenye ndoa yenu teacher wangu
2024-12-12 14:12:06
0
thuma thumai :
MashaAllah Allah abariki ndoa yenu 🥰🥰
2024-12-11 19:57:37
3
Omar Ozi :
Hawa Wadigo siku hizi wamechachawa na makanzu na vilemba vya Omani , mara Saudia kwa wamekua Warabu Bantu 😂😂😂
2025-01-26 14:36:18
1
🌺 mademoiselle :
MashaAllah 😂❤️Mimi pia nipatane Na mwenzangu huko retooling za CBC
2024-12-11 18:34:57
3
Baby M :
Mabrouq Abdul Malik
My primary schoolmate
2024-12-11 17:30:34
3
ALLY SAIDI MPANGALA :
Hivi simu yangu ndio mbovu tu au ?
Maana kila nikicroll next video posted nakutana na watu wapendana hivi au watu na ndoa..Au ticktock yangu mbovu niufute😂😂😂😂😂😂😂😂
2025-03-05 17:06:21
1
Juma Siwa :
🔥🔥🔥🔥🔥chachandu za harusi should be aired on National TV ✌unique and creative master piece .hongera sister ubunifu wa hali ya juu .Kila hadithi inaburudisha ukisikiliza
2025-02-24 09:33:24
2
richiesmall :
na mkiachana pia muje hpa pia muojiwe
2024-12-13 12:29:38
0
✿Desha✿ :
mutuletee ya maandamano basi 🤣🙌 Ruto must go
2024-12-11 23:51:07
0
userBuyu :
kila la khry mwanangu wa kwanza
2024-12-12 09:07:08
0
Babygirl :
happy for them, bride groom mwanafunzi wangu wa Mvindeni 🤍
2024-12-12 03:04:53
0
Filsan👸🏻 :
O I’ll
2026-05-25 15:32:33
0
FARIYA OSMAN ALI :
Masha Allah
2024-12-13 08:01:22
0
Qt :
mikibwa 😅
2024-12-12 19:05:28
0
villa Tuffah Holiday villas :
MashaaAllah Tabarakallah mabrouk 🤲
2024-12-12 13:06:15
0
️🦋Hawadheisah 🦋 :
@aninah 🥰 nliwaambia siku ya harusi yangu mniletee Tatu amani ntakachokiongea kwenye chachandu is we listen but we don't judge sijui unanielewa shogaangu🤣🤣🤣🤣
2024-12-11 17:59:06
0
To see more videos from user @t_amani3, please go to the Tikwm
homepage.