@princessnullyy:

Princessnullyy
Princessnullyy
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 11 December 2024 22:41:30 GMT
741726
16791
262
2395

Music

Download

Comments

styledbytala
STYLED BY TALA :
Siku nyingine ongeza nyanya kidog,limao moja,na karoti kias utakuja kunishukur
2024-12-12 09:47:47
152
msflower766
flower💋🥰 :
kabla ya yote naomba kujua nitumie nn kutoa ukali wa pilpil baada ya kusaga mana kuna siku kiliniramba walah😢😢
2024-12-12 05:45:11
30
heydijjah
DIJJAH🌸🫂 :
huku ni kuchoma utumbo😂😂😂
2024-12-12 17:41:37
30
neyshizo94
YOKVIGA :
huo mchuzi kabla ya kusaga pilipili ni shingap kwa ajili ya juice ya kumpa mamamkwe😂😅🤣
2024-12-14 19:29:03
17
user2018494681263
chia_nas :
why ulivo fungua hujakohoa nimekohoa mm🤣🤣
2024-12-12 08:54:30
69
misha_0063
Mishaa :
inaonekana nzuri sana mashaAllah ❤️
2024-12-12 23:42:01
2
shehnaazridwan
Shehnaaz Ridwan :
You don’t add salt?
2024-12-13 19:13:45
0
eng.son99
EngSON :
nimesikia 'dada', dada akaacha alichokua anafanya mara moja😅
2025-01-30 21:01:56
2
thumerhajj
Thumer Designer :
kabla ya yote nikuambie to una miguu mizuri🥰
2025-01-29 19:52:30
2
_its_shammy_official6
shammie :
zena usipoweka kwenye fridge yaharbka kwan
2025-01-19 06:55:47
2
calbygalby00
Jannat firdaus :
Next time bora chumvi uichemshe na pilipili
2024-12-12 03:11:54
17
emmybeut001
its🎀 emmy❤️❤️ :
siku nyingine tia na caroti na mbilimbili kidogo, girigiriani, na binzar nyembamba kidogo utafurahia
2025-01-30 06:35:56
3
sweet...mwaner
sweet mwaner' 🌹🌹🌹 :
Maji uliweka sijaona
2025-02-03 08:32:56
0
zamzam.kilove
Zamzam Kilove :
zaitwaje hizo pili pili
2024-12-12 12:22:14
1
afaqtz
Afaq :
Nunua blender za pmc hazivunjiki na zinavumilia moto pmc ndio uwakika !
2025-02-03 19:12:29
1
mamandivine86
Divine Dejesus :
pili pili inapendezaka ikuwe red color,
2024-12-13 05:55:54
0
paulyne2604
baby brianna💕&mom :
nahati mbaya ushike 😩😩😩ukashike naniliuuu😂😂😂😂
2024-12-13 16:35:04
2
kauthar738
kauthar :
Haichanganywi navitu vingine kama caroti na embe?
2025-01-03 04:34:57
0
iffat2727
Banu :
naomba kuuliza ke nikichemsha kdg nikamwaga maji kupunguza ukali inafaaa baadae naweka mchanganyiko
2024-12-12 05:03:22
9
dunga_seu
Dunga Seu :
Nimependa huyo mtoto mama unapika nn😀
2024-12-14 00:02:35
1
mszt89
msz T Twang :
sjawai kumiliki sufuria kama hili guys 😭bora nilitupe
2024-12-12 11:27:02
2
salumugmxt6
Sophy💋🥰 :
Yan Kuna mijitu hat hiy sufuria hamiliki hawajawah ila Kaz kusem wenzao tu sas hapo uchafu wa sufuria upo wapi au mmekosa ya kusema
2024-12-12 13:46:07
2
jayjoe.magembe
jayjoe magembe :
kwani nani alisema havi vinaitwa vikonyo 😂😂😂
2024-12-12 17:33:47
0
alyssa20227
Alyssa :
ukitaka isiwe kali sana toa zile tunda za ndani ya pilipili,weka maganda tu
2024-12-12 06:59:46
1
ummy..najmacollection
ummy najma collection :
asante sana
2024-12-12 05:06:45
1
To see more videos from user @princessnullyy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About