wandengereko from RUFIJI tukutane hapa na sema ndengereko wa wawapi, mm IKWIRIRI
2024-12-12 20:55:29
65
@aracane-255 :
uongo mtupu kupenda kuzaa zaa tu vibaka wanakuibia pesa kwa mganga kukushika mume mm nimewachika mbaya yaani pita yangunyote sikukuta hatakimoja ktk alivyo sema ni jeuri hao
Umesaau wandengeleko wachawii naao wanaume wanapenda kula hatari alafu wana gubu ukipakuwa chakula mpaka aone makoko ukimuambia ichi chakula kingine cha kesho utamsikia maneno yake etii kesho anaiju
2024-12-13 14:00:23
17
Farhiya :
yuko sahihi kabisa🥰#wandengereko oyeeee
2024-12-12 17:59:40
40
De Elegance Cosmetics :
Hatimae wandengereko tumefikiwa 😀😀😀
2024-12-12 19:27:56
11
user6887490793983 :
ndoa tano kwao kawaida
2024-12-12 15:47:34
7
Naima024 :
wandengereko mpo umu ndani
2024-12-12 17:32:45
19
fares :
wandegereko oyeeee
2024-12-12 13:29:14
13
jayvee :
🤣🤣mi mdengereko lkn wanawake wa kindengerek hapan asee wapite kushoto
2024-12-13 05:16:48
5
user783883256637 :
ansi boi kumbe mndenge 😃
2024-12-12 17:29:36
5
Sheila Omary :
ujakosea bibi mmoja wapo mm
2024-12-12 16:16:13
7
Lëyläh_🦋 :
WANDENGEREKO MPOOOO❤️
2024-12-12 19:51:21
8
daforogo🌷 :
wandengeleko wanaroho za chiki hao balaaa
alafu wanajitiaga visilani na masikini jeuri maisha yanawapigagaa balaaa
samahani watani zangu nimeamua kutoa siri yanuu 😂
2024-12-17 14:27:32
3
🌸🌸NAYRA BFF ~ FETTY🦋🦋 :
me mdengeleko wa. dar🥰😂
2026-10-31 17:37:51
0
shamimkhan bekah :
Hyo Kupenda wanaume nilistuka😂😂😂😂😂😂
2026-10-27 10:22:41
1
sabravin :
wandenge na sifa zetu
2025-02-27 11:48:36
1
Kidilu 26 🏁 :
SIFA YENU UCHAWI TUUU
2024-12-13 14:32:48
1
zee de cute :
wandengereko from kilwaaa
2024-12-28 14:09:08
1
Zawadi Khalidi :
jamani nimezaa na mndengereko wakina kipanje na kina nyakipanje mpo nawapenda sana
2025-01-13 10:42:24
2
To see more videos from user @tarrismediatz, please go to the Tikwm
homepage.