@tumainitv: Ushauri wangu hauna gharama lakini kuna kupunguzia gharama, wangapi mmekunywa chai?chai sio lazima na msije mkasema Janabi amekataza kunywa chai. Breakfast maana yake kukatiza mlo sio unakula sana", Prof. Mohamed Janabi, Mshauri wa Raisi na Mkurugenzi Hospitali ya taifa Muhimbili #tumainimedia

Tumaini Television
Tumaini Television
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 12 December 2024 16:30:07 GMT
22665
475
17
72

Music

Download

Comments

harun.daniel1
harun daniel :
huyu mzeee ndo maana anakonda ushauri wake huwa ni wakuto kula sasa hii imekaaje wakuu
2024-12-13 07:06:28
3
phonedealer123
philosopher :
ndo maan hunenep
2024-12-12 21:24:52
1
shaban.shaban229
Shaban Shaban :
👍
2024-12-12 23:39:04
0
fredominick2488
M.T.A.G. MAJUMBA SITA MPYA :
mimi sio kwamba sipendi chai Ila sukari bei yake mhh😎
2024-12-13 00:49:20
0
user1071884716762
user1071884716760.G DECORATION :
mm kwenye maisha yangu sitaki kitu kinaitwa ushauri kabisa
2024-12-13 06:24:04
0
kimarionf
kimario NF :
duu tuombe mungu tu ningekuwa ww
2024-12-13 08:48:02
0
regina.tarimo
Regina Tarimo :
😳😳😳
2024-12-16 15:46:04
0
hagai.kapyela
Hagai Kapyela :
🥰
2025-01-28 11:35:26
0
magemoses
magemoses :
🥰
2025-02-19 05:23:38
0
marcusjr_23
Marcus_Junior_23 :
honger boc wang fror.Janabi
2025-02-26 06:17:10
0
kanye.west443
Yeezy :
😂
2025-03-05 20:13:46
0
user703472121296
user703472121296 :
professor shikamoo, samahani naomba nisaidie namba ako nna shida ya kuongea na wewe nahitaji msaada wako pls
2025-03-19 05:49:39
0
donald.stephen60
Donald Stephen :
🥰🥰🥰
2025-05-19 06:01:41
0
babysam720
babysam :
🥰
2025-05-25 23:03:42
0
six.brown4
SIX BROWN :
wer is magu
2025-07-10 02:20:30
0
To see more videos from user @tumainitv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About