Huyu Dogo nae hawezi kujieleza na hii inasbabishwa kutokulelewa vyema na mzazi kiasi Kwamba anaogopa balaa ni maigizo lkn watu wa namna hii wapo kabisa live
2024-12-13 05:19:38
7
B_R_U_N_O. :
mliokimbilia kwenye comment like hapa
2024-12-12 23:53:00
45
makaveli :
dah unaniachaga hoi mwanangu🤣🤣
2024-12-12 18:30:25
27
afr artist :
kiukweli leo ume yakanyAga
2024-12-12 19:33:17
17
HD Dotto :
kasongo yeyee nomalibhala Ohwoyeyee😂🤣
2024-12-12 18:55:45
11
prince 👑 :
baba vituko 😂😂
2024-12-12 18:42:31
11
Tumafungo :
baba yako kiboko uyu .
2024-12-12 18:40:58
10
user7143799707373 :
baba mbona kama yupo serious na kafara nyiee🤣🤣kama watoto wa kiume 😂😂
2024-12-13 02:17:45
7
Mhengashop :
huyu mzee ni yombo manungu...,
Watoto wa kiumeeee😅😂
2024-12-12 20:54:22
8
man silencer :
nilikuwa na rafiki yangu mmoja baba yake mnoko ivo ivo kama huyu anaeza akapita akatukuta tunacheza mpira mara kala kofii unaskia nenda nyumbn
2024-12-12 20:22:23
8
DooginTz :
mtazamaji wa i.t.v kivimbi leo hapa kazi tunayo😂😂😂😂😂
2024-12-12 22:33:38
7
To see more videos from user @vancy_crazy, please go to the Tikwm
homepage.