@azamtvtz: Unampiga kofi mama yako? Hii laana..! #TufaniSeries #SinemaZetuHD #Tufani

AzamTV
AzamTV
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 13 December 2024 08:05:00 GMT
1715724
39877
1049
3820

Music

Download

Comments

tmangllo
tumangullo✨💞🦋 :
nani akiona machoz Huwa na yeye yanamtoka😭😭
2024-12-13 11:49:03
178
emma.nuel573
Emmanuel$ :
Uyu mama anakosea sana hatakiwi kumpangia mtoto mwanamke wa kuishi nae
2024-12-13 16:40:01
10
sholaswitb
@Sholah :
ila huyu mama anajua kuvaa uhusika balaa
2024-12-13 10:55:48
88
official.leeh5
official leeh❤️🌏🦋 :
unampiga Kofi mama yako sababu ya kikojoleo Cha jamii mamamamaeeee😂😂natoa laana kwa bei rahisi sana 😂💔
2024-12-13 08:36:31
56
lee.wa.kilongi
Lee wa kilong'i :
mama Yako usimkunjie ngumi wala kumnyoshea vidole...... Emily has made a big mistake 😭😭😭😭
2024-12-14 08:38:54
54
magdahlydiah
magdahlydia :
The real acting
2024-12-13 14:00:08
34
mringoanna
Mama J :
laana imeingia vzr hapo kupata watoto labda watoto wakudownlod
2024-12-13 12:31:29
22
mokind30
Momoh….🧕 :
Hichi sasa ndo kipaji…🙌🏻
2024-12-13 10:43:02
56
rdoday
rdoday :
dahh wameigiza kwa hisia sana
2024-12-13 10:40:34
6
mervaascuda
merva astrida :
machozi ya mama nilaana kwa mtoto 😢
2024-12-14 12:35:21
16
loyceferdinand0
Loyce Ferdinand :
this woman is the best she made me 😢 😭 😿 😢 😭
2024-12-13 12:35:32
20
djb287
Djb287 :
nimependa namna ya uigizaji wa kuvaa uhalisia wa jambo ili mtu aelewe mama kavaa uhalisia na mtoto pia
2024-12-14 12:24:32
6
maggie.de.cool
Maggie de cool🥰 :
𝒏𝒂𝒌𝒖𝒑𝒆𝒏𝒅𝒂 𝒔𝒂𝒏𝒂 𝒎𝒂𝒎𝒂𝒂𝒏𝒈𝒖 𝒑𝒐𝒑𝒐𝒕𝒆 𝒖𝒍𝒊𝒑𝒐🥰🥰🥰🥰𝑴𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒂𝒌𝒖𝒆𝒌𝒆 𝒎𝒂𝒊𝒔𝒉𝒂 𝒎𝒂𝒓𝒆𝒇𝒖 𝒖𝒐𝒏𝒆 𝒗𝒊𝒕𝒖𝒌𝒖𝒖 𝒏𝒂 𝒘𝒆𝒏𝒈𝒏𝒆 𝒘𝒆𝒏𝒈𝒊
2024-12-13 19:17:42
8
user80574760812366
prisca :
mama ametoa maneno makali, laana mbaya hiyo,
2024-12-13 20:47:18
6
zuwena1914
Zuwena$ :
Mama unajua kuigiza ila dah Mungu tupe watoto watiifu
2024-12-13 21:20:45
5
yesembusamalikewa
graciana busupha :
matata hiyo!! maman ni maman atakama ni mulozi, tunahitaji kuwa heshimu. ila nanyi maman zetu musitu uwiye wake wetu
2024-12-14 12:49:24
5
user3222386217691
Blâçk-; tìgér :
Azam wanaonyesha move za kufundisha, ila Dst, sas za mapenzi,mapenzi na hamna mafundisho akina Huba,, Jua kali,, jihaa
2024-12-13 12:41:38
7
rahmarashid34
HIS QUEEN👸 :
ila emily utanifanya niichukie hii tamthiliaa🥹🥹R.I.P my lovely mum..alhamdulillah mpk unaondoka dunian sijawah kukutoa chozi
2024-12-13 10:42:06
5
hildalaurentlauren
HildaLaurent :
jaman hyu mama kumbe ypo namwelewaga sana
2024-12-13 11:01:36
5
prisilah96
P💜 :
Hii tamthilia imejaa mabanzi 😂😂 ni Paa Paa Paa tu😂💔
2024-12-13 10:54:26
6
candymmoja
GLADYS💛🔥💯 :
anaitwaje Emily
2024-12-13 17:27:51
13
user2075812599865
radji mamy :
jina la movie plz🙏
2024-12-13 14:47:51
10
geewillies_yay
geewillies_yay :
nipo namchongea huyu mama tuzo huku 🙌🙌🙌
2024-12-16 12:39:58
4
mwajabumhagala2
Cha Upole ⚘️ ⚘️ :
Daaah inaumiza sanaa😭😭
2024-12-16 21:44:13
2
To see more videos from user @azamtvtz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About