hivi mzee na wwe ni tajiri sana samahani kwa kuuliza lkn
2024-12-18 12:49:14
3
Rast borni.+255⚠️⚠️ :
Hawa kijijini kwe2 wapo wengi sana maeneo ya visima. namashambani
2024-12-15 14:49:56
4
Yobo395 :
Mzee kuna ziwa moja lipo mkoan tanga wilaya sitotaja...halijawah kukauka kamwe na ni dogo wala sio refu ila inasemekana lina hazna za kale...ukienda kwa wazo la kuangalia hizo hazna unakutana na nyoka
2024-12-27 06:29:15
0
officialalice59 :
Mimi alikuwa juu dari alikuwa anakula kumbikumbi
2024-12-13 09:57:32
2
yusuphabdala666 :
nimewachezea sana utotoni tutumbi jeshi
2024-12-14 03:17:26
3
Baraka Zuberi :
💯💕🔥😂Tufanyeni kazi jamn mana hao wote waliofanikiwa mbn haya hawayasem
2024-12-19 22:48:13
2
To see more videos from user @majininawatu, please go to the Tikwm
homepage.