@radiomariatanzania: NAMUUNGAMIA MUNGU NANYI NDUGU ZANGU - Namuungamia Mungu Mwenyezi, nanyi ndugu zangu, kwani nimekosa mno, kwa mawazo, kwa maneno, kwa vitendo na kwa kutokutimiza wajibu, nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana. Ndio maana nakuomba Maria mwenyeheri, Bikira daima, malaika na watakatifu wote, nanyi ndugu zangu, niombeeni kwa Bwana Mungu wetu. - Katika video ni Padre Fidelis Massawe, IMC wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya shukrani ya Jubilei ya Miaka 25 ya utawa wa Sister Rahel Massawe CDNK katika Parokia ya Mtakatifu Katarina wa Siena - Jimbo Katoliki Moshi. . . www.radiomaria.co.tz
Radio Maria Tanzania
Region: TZ
Friday 13 December 2024 16:30:00 GMT
Music
Download
Comments
Edwin :
Amina.. proud to be a Catholic..🙏🏽
2024-12-13 17:42:33
5
elugae :
Amin 🙏
2024-12-15 07:38:02
0
user85287425462770 :
amin
2024-12-14 07:05:06
0
@Doctorwalker7 :
Amina
2024-12-13 17:38:44
0
annamboya888 :
mungu nakuomba ukambariki padrii furaha umpe uzima apaa duniani aweze kukutumikia wewe mungu na kuchunga waamini wake wa rombo mkuu
2024-12-13 16:44:36
2
Large :
Amina 🙏🙏🙏🙏
2024-12-13 23:54:24
1
Francie :
Amen 🙏🙏🙏
2024-12-13 23:21:56
1
Kochezz🩸🩸 :
Amina
2024-12-13 21:00:28
1
Stevo K :
Amina
2024-12-13 20:03:25
1
dennismurithi184 :
Amina 🙏🙏
2024-12-13 19:44:02
1
mama bulandina :
Amina 🙏
2024-12-13 19:05:17
1
Queen_.Mary :
Amen 🙏🙏🙏
2024-12-13 18:42:43
1
Tafakari kali :
🥰🥰🥰🥰amina
2024-12-13 18:15:28
1
judii😩❤ :
Amina
2024-12-13 17:55:08
1
jackyaluoch66gmail.com0 :
Amen
2024-12-13 17:46:58
1
Mercy Mathias :
Amina
2024-12-15 17:55:33
0
user8255109615542 :
Amina
2024-12-15 16:36:58
0
conso.latha :
Amina🙏
2024-12-15 16:28:59
0
Ann Chege :
🙏 Amina
2024-12-15 15:41:32
0
Nimrod Abiya :
Amina
2024-12-15 12:37:25
0
sarha :
amen
2024-12-15 04:23:28
0
mwaki :
amen
2024-12-15 02:53:42
0
joro kupaz :
Amina 🙏
2024-12-14 23:15:26
0
user8248842420827 :
Amina
2024-12-14 20:48:15
0
@lightness mhina :
amen
2024-12-14 18:10:02
0
To see more videos from user @radiomariatanzania, please go to the Tikwm
homepage.