@levis_africa: SHIDA😢#mama #loveyou #hihglights #everywhere #kenyantiktok #AIRTEL #onemillionaudition #fyp #zanzibartiktok #khabylame #sinema #bike #inatoshachallenge

LEVIS AFRICA 🏕
LEVIS AFRICA 🏕
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 13 December 2024 09:17:12 GMT
109738
2577
286
122

Music

Download

Comments

qaifer
quifer :
daah nataman namim mam angu angekuwepo anifariji Kam hiv ila ndo bac tenah Allah amlaze mahali pema
2026-08-31 18:49:27
0
foxpapey
Diana🤍💙 :
Sorry ni wewe kweli au umeeka tu Kama ni wewe nikusaidiee kumtumia mama iyo hela ?
2024-12-13 17:29:55
30
user4581413479632
lulu&Niky :
pumzika salama mam yanguu huwa nawaza lait ungekuwepo nami ungenisumbua angalau kavocha tu ka 500😭😭😭lkn kimya r.i.p mam mic u pumzika salama
2024-12-16 04:29:06
3
psuccess16
Broken Soul🚫📌 :
hakuna mama wa kumwambia eti mwanangu ukiuza makopo wanasemaga mwanangu kwenye mihangaiko yako ukifaniwa kupata angalau chochote kitu nisaidie mwanangu nipate dawa😁😁😁
2024-12-15 06:01:17
2
nanah9669
It's Nanah🦋🔐🩷 :
mom napambana kwa ajili yako mollah akuweke mama angu nakupenda mno ,mollah barik kina mama wote😭😭🙏🏾🙏🏾
2024-12-13 16:24:36
50
loveness2490
❣️Official Jj😍🤎 :
najikuta naumia nyie japo sjui hata Raha ya mama Wala malezi yake kaniacha mdogo sna r I P mom😭
2024-12-15 11:12:17
5
felisterrichard50
Felister Richard505 :
mumgu atusaidie wale tunaopambana kwa ajiri ya family zetu
2024-12-14 07:33:47
5
user3543435802214
F B KING :
kam una amini we tegemeo la familia yenu gonga like afu God anablexx kmtindo
2024-12-14 14:21:20
4
realmk_01
Mk🥰❤ :
😭😭😭 mom Mungu akupe maisha marefu uone matunda ya mwanao
2024-12-13 14:50:21
4
kimjojoh61
Madam Joh_ :
🥺🥺🥺One day yes you will be somewhere 🙏🙏🙏
2024-12-13 15:34:11
4
baraka.shirima6
An classic :
😭😭😭😭 duh hii sms imenitoa machozi but tupambane one day yes mungu yupo
2024-12-14 09:33:45
3
emmy06248
Emmy :
Mungu abarki kazi ya Mikono yko bdala ya elf 2 umtumie laki 2 na zaidi Mama yako 🙏🙏
2024-12-14 07:25:07
3
official.diana.ezekiel
Official Diana Ezekiel :
daaaaahh😪😪😪😪
2024-12-13 20:24:08
2
user356177444703
Adelolah😍 :
nyieeee this is so painful 😢
2024-12-13 17:39:28
2
mwanamissihizza
Mwanamissi Hizza :
mungu wabariki watoto wetu
2024-12-14 07:55:04
2
typar125
typar_official :
😓😓😓😓😭😭
2024-12-13 18:44:55
2
user348476338274
ciary💋 :
ee mungu hadi nimelia sana naomba umpe mama maisha marefu bdo nasoma ajira zenyew shida umri wa mama unaenda naumia ee mungu nisaidie jaman😭
2024-12-15 08:25:41
2
engineerprince3
Engineer :
💯💯💯💯uhakikaa
2024-12-14 09:35:25
2
user3572573827401
user3572573827401 :
daaa pole boss. km umeweza kununua simu km hii unashindwaje kumsaidia mama
2024-12-13 20:43:22
2
omary.dk
Omary .d. Liang :
muokota Makopo ana smart phone na bundle ya WhatsApp 🫡🫡🫡
2024-12-14 03:42:15
2
rozybajuta_
Rozinanyerer Nyerere :
dah inaniumaga san pale malang anapoumwa afu ananiomba alafu ssina naumiaga sana ila nampenda mamangu
2024-12-14 07:20:33
2
user7339788435172
Dudu boys silvester :
😭😭😭😭😭😭😭 Kaka Piga Moja Kwasisi Watoto Wa Kimasikin Tunaotafuta Jina La Ulidhi
2024-12-14 12:28:27
2
xonaboy
"45"msabato :
nilikua nmekaa na washkaj zangu baada ya kuona hii nilinyanyuka na kwenda kukaa peke yangu uku choz linanitoka
2024-12-16 12:59:29
2
jaksonboy55
jaksonboy :
rest in peace my mom
2024-12-14 13:31:57
2
konde9578
@konde :
😭😭😭bro
2024-12-14 15:10:03
1
chimay.debrah
Hookie❤️❤️ :
imeniumizaa jmn,,😭😭
2024-12-14 18:12:14
1
zmmycute
🦋𝗭𝗘𝗬𝗙𝗔𝗧𝗧𝗬🍭🎀🦋 :
nakupenda sana mama yangu
2024-12-14 18:09:18
1
johaynah1
johaynah :
eee mungu bariki wazazi wangu
2024-12-14 17:58:19
1
user5230321637386
majoseetz 🥰🥰🥰 :
hamuna kazi ambayo nlikua naifanya kwa moyo wangu wote kama kuokota makopo,, nyie aya maisha acha tu 😭😭
2024-12-14 16:53:14
1
20070903rp
faith💦🥰 :
😭😭Ee mungu umpe mama yangu maisha marefu mwepushe na magonjwa ...Amina nakupenda sana mama yangu❤❤
2024-12-14 21:54:08
1
mk302288
mk :
mungu abariki kazi yako kaka
2024-12-14 16:06:58
1
kundesa2
💦💦mamy boy :
🥺🥺
2024-12-14 10:47:57
1
user4225434101937
user4225434101937 :
mingu yu pamoja nawewe usikate tamaa
2024-12-14 11:00:01
1
lucymalley2
Lucy Malley :
poleee😭😭😭
2024-12-14 11:06:50
1
meckitildabernad
Meckitilda Bernad :
tunaojitafuta kwa ajili y familia zetu weka❤ apa🙏🙏
2024-12-14 11:09:33
1
allymagesa4
Ally magesa :
nusu machozi yamwagike aisee kaka kikubwa dua
2024-12-14 11:54:07
1
user8436777942007
user8436777942007 :
😂😂😂😂😂 ime nitowa machozi niki waza ayati maman
2024-12-14 12:19:02
1
ratifahmangochi
@ratfahsaid79🤣❤️ :
ya rabby 🤲 wajaalie wazaz wetu rizq za halali🙏
2024-12-14 12:28:23
1
pretty.kidoti1
Pretty kidoti 🥰😘 :
me pia sichoki kupambana kwa sababu ya mama yanguu natamn sana anapohitaji msaada wangu aupatee
2024-12-14 14:33:38
1
real.fasmah
Fasmah-Nadir❤ :
Ya Allah wajalie mama zetu rehma wasitukatie tamaa.Ameen
2024-12-14 12:44:14
1
user86661443574136
koa tz 217 :
love you mama ang
2024-12-21 04:34:58
1
geoffreyluswetula2
the middlefillder :
halaf mama anapata hela ya bando anakoswa ya dawa tumepigwa
2024-12-16 21:48:25
1
asia.kupera
Asia Kupera :
nani kama mama
2024-12-16 18:55:15
1
user7538001958003
rebby💖 :
daaah nimeumia sana et ilaa na wewe ni mkwerumesema so wewe ni content tu ubarkiwe🥀
2024-12-16 12:27:51
1
brigedialydia
lidyakiwango673 :
😭😭😭😭😭
2024-12-17 09:34:48
1
mumy.ney
mumy ney :
naomb kama kweli ni wew japo sina ila nimtumie tu hata elfu tano kipenz
2024-12-16 06:42:21
1
lizzy53763
Lizzy ❤️ :
❤️❤️mungu naomba uendelee kumuweka mama angu salama
2024-12-17 10:19:00
1
johnmarleymarley6
john marley marley :
eeee mungu we wakwetu sote
2024-12-15 21:23:30
1
chrisschrchriss
Noel Elisha :
Daaah inauma mungu atujalie mwisho mzuri
2024-12-15 18:32:07
1
messiboy777
Mesiacki L💎🎓📖 :
I love you Mama 💖
2024-12-18 06:46:57
1
user9005639198186
THE HUNTER OFFICIAL :
🙏🙏
2024-12-18 07:32:54
1
To see more videos from user @levis_africa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About