@rosentinda1: Namuungamia Mungu Mwenyezi..Nanyi ndugu zangu kwani nimekosa mmno.kwa mawazo kwa maneno kwa matendo na kutotimiza wajibu .nimekosa mimi nimekosa mimi nimekosa sana..ndio maana nakuomba Maria mwenye heri Malaika na watakatifu wote nanyi ndugu zangu niombeeni kwa bwana Mungu wetu...🙏🙏🙏#prayer #sala #maombi #kutubu #toba #amen🙏 #Darose #🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏