@mu.dutchie: Shida yenu ni gani😂#mudutchie #fyp #foryoupage #tiktok #tiktokkenya #tiktokuganda #tiktokamerica #tiktoknigeria #tiktokaustralia #tiktokuk

Mike 🤘🏾
Mike 🤘🏾
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 14 December 2024 16:16:32 GMT
436723
63206
588
4341

Music

Download

Comments

:
Kwanza ikue hotdog ya quickmart😩😭
2024-12-14 16:17:35
4333
:
sasa nikufe njaa juu watu wataniangalia💔😂😂
2024-12-14 16:50:16
3289
:
siezi kulia nje saa nikulie wapi😭😭😭😭
2024-12-14 16:25:45
1815
:
lakini mbona watu huangalia mtu akikula 😭😭😭si pia wao wakule kaa wanataka nkt
2024-12-14 19:10:52
790
:
Mimi as far as Niko njaa nakula anywhere
2024-12-15 07:50:36
163
:
Jana nilikula kuku nusu na chipo Kwa metro😭😂😂
2024-12-15 13:18:23
606
:
gari yote inanuka food na maybe uko na njaa😂😂😭😭the side eyes that you get 😂😂
2024-12-14 16:36:35
87
:
na wenye tukona motion sickness 🥺hatuezi jaribu ata kuonja😂
2025-02-10 08:45:05
45
:
alafu katoto kanakuangalia😂😂😂💔💔💔
2025-02-11 05:47:33
141
:
Huyu sini ww
2024-12-14 16:27:58
156
:
aki nilikua nakula crips zile big kwa mat...halafu mama mwingine apo akaambia mtoi wake"baba kuja mkule na Auntie".......😢😢😢😡😡😡😐😿
2024-12-15 18:15:25
48
:
mike na hii matatu haikuenda for how long umetoa content mingi nayo ama ni yako 😂😂🙌🏾😭
2024-12-14 19:33:27
76
:
ukule pekeako kwa mat alafu uniulize kama tumefika tao..walai utajipata kakamega💀😭
2024-12-16 11:50:16
22
:
Raha jipe mwenyewe 😂
2024-12-14 16:20:56
16
:
kwanza watu wa chipo😭😭😭harufu inatutandika right,left eeeei🤣🤣🤣
2024-12-15 06:17:39
107
:
mi nae hukula adi nahurumia mwenye nimeketi naye😂😂
2024-12-14 21:53:30
6
:
nakunikisha chipo gari mzima 😂😂
2024-12-14 16:22:57
14
:
swali ni mbona unakula io mayai hivo👀👀👀 Eka yote kwa mdomo
2024-12-14 17:29:14
15
:
cwezi kulia kwa barabara nangojea nifike kwa matatu😏😂😂😂😂
2024-12-14 20:57:19
5
:
kwani haikuwangi kitu normal 😂
2024-12-16 18:59:10
10
:
why would anyone not eat confidently na food ni yako😭😂😂
2024-12-15 05:13:28
5
:
sa ni smokie inakusumbua... piga mara mbili na upanguze mdomo 😂😂
2024-12-14 18:26:08
6
:
usituambie😂😂
2024-12-14 16:49:40
7
:
alafu kukuwe na watoi
2024-12-15 09:22:58
9
:
Nakuanga shy naonanga Ni kama watu wanaiona kama matako 😅😭😭
2024-12-16 06:37:16
7
To see more videos from user @mu.dutchie, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About