@bossaziz6: #africantiktok #tiktokindia #tiktokkenya #tiktoktanzania🇹🇿 #fyp #trending #fyppppppppppppppppppppppp #holidayvibes #bossmoves #goviral #mama #

Boss Aziz
Boss Aziz
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 15 December 2024 09:45:34 GMT
18924
763
59
27

Music

Download

Comments

vyombo_arusha
Servewithstylearusha :
how i miss my mom🥺..akiwa anapika ananikati nyanya /karoti nile kupooza njaa wakat anaendelea kupika..imiss you so much Anna🥰
2024-12-15 15:24:23
7
last.dragon55
Last dragon 🐉 :
I can't relate she passed when I was at least 3 years
2024-12-15 19:27:09
3
sherinetz544
sherine tz3 :
Rest in peace mum😭😭
2024-12-16 07:14:01
0
officialcatty7
officialcatty7 :
mama angu🥲
2024-12-15 15:30:19
2
pauljr93
paul jr :
i love my mom❤️❤️
2024-12-15 18:27:11
1
leebenson38
Lee Benson :
more than pure love ❤️🙏
2024-12-15 18:52:05
3
user3282310850724
Light :
Nimemmiss mama angu😭😭😭😭mhhhh hata nikiwa nmeenda shule nilikua nikirud nakuta kaniwekea supu mhhhh Mungu mkali jaman 🙌🙌🙌
2024-12-16 04:08:47
2
officialjlyne
official@jlyne😉😉 :
😅Hadi mchuz wa maharage nilkua naonja
2024-12-15 19:06:13
1
ms_jacquez
Jacque :
Nilivokua mdogo nilikua nikihisi njaa najitenga naacha kucheza😂siku hizi nikikaa room yeye yupo jikoni anaassume nna njaa,utasikia njoo mwanangu🥰😭kunywa supu upooze njaa chakula kinaiva sasa hivi😭
2024-12-16 04:37:05
1
raybaigana
rehema_collection🦋 :
Pumzika kwa Amani my mom 🥺
2024-12-15 18:29:16
1
jonijoh2
Jonijoh2 :
Huwa na feel like a m grown up and naweza fanya maamuzi ya familia
2024-12-15 18:53:35
2
useranitha39
user Anitha ❤ :
Wamama wote waishi maisha marefu,nakupenda mama angu 🥰🥰
2024-12-15 11:39:20
2
neemapaulina97
My p❤️ :
Mama angu lazima aniite yan 🙏🙏
2024-12-15 17:48:00
1
nm38195
N/m. :
mbona mwatuliza wengine tulipoteza wetu tumebaki na kumbukumbu tuu😭😭
2024-12-15 18:34:09
0
ekoni_ekoni
EKONI :
mnajua raha ya kulelewa na bibi nyie🤗, mpaka mchele alikua ananibakishia alio uloweka kwaajili ya kupika. akienda kwa sherehe lazma abebe keki ilokua uko, 🔥🔥🔥 rip My lovely Bibi😭😭
2024-12-16 12:16:47
0
addy_boy93
Addyboy93 :
hadi nimemeza mate 😂 nimekumbuka mbali sana
2024-12-16 12:02:44
0
user591414719285
Bad chapter :
oyaaa eeeh sio poa MN iyo situation unajikuta ww ndo baba mwenye nyumba vile
2024-12-16 11:20:15
0
joo.sonic5
joo sonic :
Wee ana wtt zaidi ya watano ila kuna kale katoto anakapenda zaid atajifanya nyama imedondoka anakaambia okota hiyo nyama iliyodoka hapo katupe nje kumbe unaenda kuila hivyo hivyo wengne haelew kitu
2024-12-16 10:53:15
0
thompol06
Tomlondon :
bonge la feeling aisee sifa ziende kwa mama angu 🥰🥰
2024-12-16 10:38:14
0
jntcollection0
JnT Collection :
Mungu amuweke my mom akienda sherehe anaenda na mfuko ili atuwekee tu nyamaa🥰🥰 Mungu akupe maisha marefuuu
2024-12-16 09:39:57
0
feysweet2
Faysweet2💖 :
jamn mama angu mungu akupe maisha marefu nakupenda sana love you mom ❤️❤️❤️🥰
2024-12-16 09:26:30
0
user51126244634114
anny🥰😘 :
huyo ni mama angu kabisa hadi naukubwa huu bado ananifanyia ivo nampenda mno🥰❤
2024-12-16 09:20:49
0
kauthar.samira2
Kauthar Samira :
Mam B wangu naukubwa huuu Bdo ananifnyiaaa hivo nkupendaaa my heart beat❤️❤️
2024-12-16 08:38:55
0
ashrunamohammed
Ashruna Mohammed :
Sijawhi kuishi na mama 😭 lakn alhamdullah nimekuwa mungu niweke kwa ajili ya wanangu
2024-12-16 07:26:43
0
ire2963
Rene🌻 :
mama angu huyu akiwa anapika anapenda niwe pembeni yake Ili awe anapakua alaf tunaonja weee hiyo raha nasikiaga na umbea ukiwa unachombeza hapo😂😂😂
2024-12-16 06:57:00
0
To see more videos from user @bossaziz6, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About