@mita100_bme: SITUATION 🙄during @Simba Sc game, before the 97 minute when simba sport club scored a goal. #mita100_bme #Mita100_Bme

Mita100_Bme
Mita100_Bme
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 15 December 2024 15:13:30 GMT
228673
5006
66
78

Music

Download

Comments

babaiffat
babaiffat :
🔥🔥💪
2024-12-17 13:36:41
2
gophuser
ng'@mba🇹🇿 :
next baada ya goal please 🥺🥺
2024-12-17 07:17:29
1
gudan96
user7326461931054 :
tupowengi tuloweweseka nakulia dk hizo
2024-12-17 06:09:56
6
aysher.nindi2
Aysher Nindi :
Mi nikiangalia mpira nyumbani utafurahi, nazima TV baada ya muda Nawasha, nazima tena nawasha hadi mpira unaisha kazi moja.
2024-12-17 06:50:58
5
user3736326983383
user3736326983383 :
mungu yupo jamani wanasimba ipo siku
2024-12-17 09:09:24
5
user812340950747
user812340950747 :
yaan niliteseka 😂😂halafu nimezungukwa na mashabiki waa yanga ila Mungu si athumaani kido shwaaaa🤣🤣🤣🤣kibuuu diiiiiiii🤣🤣🤣
2024-12-17 07:35:50
3
user28484711104371
francis :
jana mashabiki wasimba walipata tabu jamani daaa
2024-12-16 13:41:40
3
lastaborn3
Lastborn :
nahisi ndio laha ya mpilaaa una kaliwhwaa afu unasimamishwwaa
2024-12-16 15:50:33
1
mluguru12
sijal12 og :
yan mpira aliyenirithisha jaman daaah yan simba inaniunizaga sana
2024-12-20 19:14:28
2
elizabeth.milambo1
Elizabeth milambo :
mm nilikuwa nimesha aza kutokwa machonzi bila kujuwa
2024-12-20 17:31:00
2
anordsalvatory5
Anord Salvatory :
Huo wimbo unanikumbusha msiba wa magufuli😔 Rip
2024-12-21 09:46:26
1
emanueliyamuya
emanueliyamuya :
Hali ilikuwa mbaya sana
2024-12-17 06:48:53
3
user7261192568666
user7261192568666 :
nimeamina mpira unauwa
2024-12-17 05:39:06
3
sabrinashabani522
Sabrina Shabani522 :
sitoisau imech dar🙏
2024-12-18 18:55:58
1
eliudjohn691
Abduli :
haikuwa rahisi ni mkono wa mungu
2024-12-17 10:48:13
2
spellasawani
spellasawani :
shangilieni majumbani ukiona mambo magumu unazima tv mtakuja kufa
2024-12-16 21:49:28
2
user8606176961963
hamisc doto :
hongela kibu
2024-12-16 15:04:00
2
winner5829
winner :
sitasahau hii siku
2024-12-17 15:27:03
1
bigzambassador
T Square :
duuhu watu wana mapenzi na team zao
2024-12-17 14:45:48
1
adamuyohana0
Adamu Yohana :
mapila bhn 😥
2024-12-17 09:30:10
1
user86061550853072
Emanuely petro :
watu wakashenetwa jan dakika za jion
2024-12-16 17:35:21
1
pantaleojeremiah
pantaleojeremiah :
dada ni mnya HASWA na c wa ku chovyachovya🥰🥰
2025-01-03 17:49:02
1
hajiyusuph147
Haji Yusuph :
giramahoro ines
2025-01-02 18:28:48
1
kamgishavedasto92
Kamgisha Vedasto :
sipati picha iyo dakka ya 98 sec25 goal lilivyoingia alifurai vipi an m nilikua kidogo nipigwe bar mamaake acha tu. UBAYA UBWELA☺️
2024-12-22 08:33:01
1
user1280738749613
M⭐K :
duh me jasho ilinitoka mpaka kwenye unyayo
2024-12-19 07:38:16
1
To see more videos from user @mita100_bme, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About