@mbwangaa: BAGAMOYO AWARDS ✨ song "clony uje @BAGAMOYO FAM @bagamoyobagamoyo #sijajipatachallenge #kenyantiktok🇰🇪 #nigeriantiktok🇳🇬 #trending #kenyantiktok🇰🇪

iam_clony
iam_clony
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 15 December 2024 15:46:32 GMT
105042
12600
465
211

Music

Download

Comments

imuh_zuzu
Imuh :
Mtaalam 🔥
2024-12-16 05:51:57
15
user92502539358355
Raystar tz boy :
kaka tuwasiliane nataka ngoma na wewe niko vzr uwezi juwa me ndo njia yako
2024-12-16 08:19:45
9
prosper_treyzah
MAJOGOO😜🧸 :
Unaweza sana kaka iyo nyimbo ukisikiliza kwa makini mtu unaweza ukalia🥺
2024-12-15 15:52:32
25
mooveny
mooveny :
noma sana blood pull up💪
2024-12-15 21:48:43
8
tiffany____10
❣️♥️❣️ Tiffany 💛🧡 :
inaitwaje hi nyimbo
2024-12-16 03:38:07
8
mesohamedgola0
Meso Hamed holà :
Chukua maokoto
2025-02-18 19:08:21
1
shamokey1
shamo key :
Njimbo yang iyo ambayo naisikiliza kila nikitaka kulala
2024-12-15 21:17:46
5
its__mee198
💎Cute_fina❤️‍🩹 :
😔daah
2025-01-09 19:32:05
4
kanimuft
ligendeka :
ungeenda tu zanzibar ile siku ungesaidia sana
2025-03-08 16:06:06
2
snaiderclassicwear
Snaiderclassicwear :
Sauti ya live n kali kuliko ya kwenye wimbo
2024-12-16 21:24:56
6
firstboe_dill
First boe_Dill :
JAMAA huyu sindo aliimbaga Ile daladala? kama ndo yeye anajua sanaa 🙌
2024-12-16 10:51:15
6
nathan_nathan1511
15__11boy :
bro naimba nyimbo zako kama mwehu for real kwa mtu anapenda myu anaye penda mziki mzur kma hakusikilizi anakosa vitu vingi sanaa
2024-12-15 16:23:25
5
zainahamisi59
,,🎁 DULLY💘👣💔🫂 :
unajua sana bro Mungu akutangulie kwenye kila hatua unayopiga inshaallah utafika mbali kikubwa usikate tamaa
2025-01-16 20:12:59
1
aronyshanery
JayPrince :
follow me
2025-03-11 07:08:42
1
officiallbaddii
BAD 🤴 :
amazing
2025-04-06 14:14:46
1
raywelchwilliamson4
Rayjavvvicccs Ray☀️ :
akh brazaa am from Kenya naipenda sana huu wimbo
2025-04-17 19:35:41
1
halfanimohammed
BUSHIRI :
we jamaa mi nakukubal sana
2025-01-24 07:19:16
1
mdudu105
miraj :
una kitu
2025-01-23 13:43:21
1
mkeedywinky1
c-h-r-i-s🇯🇲💚 :
natoka kenya lakini nakukubali saaana kaka ipo siku tutapatana usoni tuuuwe
2025-03-13 23:03:16
1
cheed_bale255
cheed :
one of my best singer♥️💪
2025-03-04 20:16:36
2
dmac.tz
👑DMAC Tz🎧 :
nakubali 🙌
2025-08-19 18:16:34
1
dogotwaanails
Dogotwaa_urembo_wameno :
daahhh hii ndio nyimbo yangu ya mwaka
2025-07-10 19:37:09
1
user1088353655946
ally kipenye :
nakubali bro apondy penye
2025-03-08 10:24:22
2
frolapetro6
Frola Petro :
Jirani
2025-03-04 20:45:49
2
gayomwanji1
Gayo :
hii ngoma kwa watu walioachwa wanaweza lia sana😂😂
2024-12-17 13:32:42
2
To see more videos from user @mbwangaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About