@healthycentre3: Sababu za kukosa choo: Lishe isiyo na nyuzinyuzi Unywaji mdogo wa maji Kukosa mazoezi Matumizi ya dawa fulani Mfadhaiko au magonjwa ya utumbo Suluhisho: Kula vyakula vyenye nyuzinyuzi (mboga, matunda) Kunywa maji ya kutosha Fanya mazoezi mara kwa mara Epuka kushikilia haja kubwa kwa muda mrefu Tumia dawa za kulainisha choo kwa ushauri wa daktari.#fyp #fypp #foryou #foryoupage #viral #oman🇴🇲 #usa🇺🇸 #tiktok #