@veronicahsyokz: baddie ameamua drip leo ni vintage 😅😅#fypシ #veronicahsyokz #kenyantiktok🇰🇪 #viral #fffyyyyyyypppppppppppppppppp #viral #funny #girlfriend #fun #fyp

veronicahsyokz
veronicahsyokz
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 15 December 2024 16:34:56 GMT
681929
34179
639
2820

Music

Download

Comments

clareglorygacheri
clareglorygacheri :
kama mafuta ni ya kupima,si huyu chiwawa atakula mavi .🤣🤣🤣🤣🤣
2024-12-15 19:34:38
733
keyvoh_vokehill
Wáiyà-kîh Keyvoh :
Mafuta ya kupima was necessary to promote local duka sawa
2024-12-16 05:08:26
315
faykelah
@faykelah 078 :
ata ufishe mafuta ya kupima tunaiona tu 🤣🤣🤣🤣
2024-12-15 18:34:06
286
qoeykoey
Economist Wangui Njeri :
Shida ya genZ sijui ni nini. Nilipatana na son yangu church akiwa na nguo za white na crocs chafu
2024-12-15 19:54:48
215
mamaliam001
kamba👑 :
wenye mnaongelelea mafuta ya kupima shida iko wapi mtu akibuy mafuta ya kupima hio ni kupromote shop za home
2024-12-16 05:00:04
186
nathannyumu
its Nathaniel :
🤣😅😂what makes me happy is this ...😅🤣 kamechoka , he is tired 🤣🤣 we toa hizo vitu ...unakuaga na shida gani 🤣🤣😅🤣
2024-12-15 19:19:03
164
brigitalvara
brigitalvara :
kwani hamkupeleka shopping home surely
2024-12-15 20:13:23
63
andrew.i.simiyu
Andrew Simiyu :
chilling with a baddie of course 😅😎 "ashuke ndio ninmbebee wapi?" is a valid question, "He's tired."
2024-12-16 05:18:52
51
dm20300
dm20300 :
Sasa kyondo ya kuweka chakula ameweka Chiwawa ndani? 🤣🤣
2024-12-15 19:06:34
40
tinabellah03
tinabellah03🤓🤓 :
na mjue hakatalala kwa nyumba katalala inje na akna Rex na tusker 😂😂
2024-12-15 21:35:21
35
nelson.maina.kanyara
Nelson Maina kanyara :
umeanza kununua mafuta ya kupima na tuko date 16 🤣 by January itakuwa aje ?🤣🤣🤣
2024-12-16 04:30:48
30
gennzii1
KABABAA😩🥰🥰 :
😂😂😂😂😂Dogii ukimwona kwa haraka utadhani jicho moja unatoshana chungwa
2024-12-15 17:38:09
24
judyjack20
Judy Jack :
hio ni kiondo ya shush imebeba doggie😭
2024-12-15 20:58:20
16
user1839293268263shannon
malia22 :
unakuaga na shida gani🤣🤣🤣
2024-12-15 19:37:30
16
kenyangirl_shix
KENYAN GIRL :
hamuoni chiwawa ako na safety jacket 😂😂😂😂😂😂
2024-12-16 09:38:51
13
patrico.mkenya
Patrico Mkenya :
🤣🤣🤣🤣🤣aki sii poa kamechoka his tired
2024-12-15 19:53:02
11
hongracebahatizora
Hon. Grace Bahati(Zora) :
Woiye Kadogi kamavalishwa reflector for safety Purposes 🤣🤣🤣
2024-12-16 18:32:43
9
kerenshady
Keren✨♥️ :
😂😂😂 Veronica arudi Nairobi 🙌😂
2024-12-15 19:43:29
9
georgenikivega567
George nikivega567 :
😅my mum anaeza karusha nje ama akamwagilie maji moto ama kapigwe na mwiko
2024-12-15 22:53:58
7
alleyjay2
Atis mc Alley :
hamkukuja na unga surely
2024-12-15 18:43:07
7
winniekj1
winniekj7 :
si umwambie polepole🤣🤣
2024-12-15 18:39:26
7
user1398482694000kariper
toto :
shinda ya gn,z sijui ninini ,wingine ameita cucu oldstaff nimemngonga kofi mimi spendi unjinga mazishi ni sutarday.
2024-12-15 20:17:26
6
mercymbalu
mercy mbalu :
please do more content with your man talking😂😂 he talks like my man and I like listening to your content gal😂😂😂
2024-12-16 11:40:22
5
adiaspuchytta
adias puchytta :
amevalisha reflector 🤣🤣🤣
2024-12-16 06:00:38
5
tabby.mwaura
Tabby Mwaura :
After arriving in a chariot of donkeys she is wearing shosh's clothes and carrying the dog in her kiondo🤣
2024-12-15 19:40:53
5
To see more videos from user @veronicahsyokz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About